FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

wakuu eeh naomben mnipe profile ya semedo km katokea wap tumemnunua kwa dau ngap nakadhalika pamoja na dembele
bila kusahau record zao
Current club. FC Barcelona. Position Right-Back. Nationality Portugal. Contract until 30.06.2022. imago. Player data.

Age: 23

Height: 1,78 m

Name in home country: Nélson Cabral Semedo

Nationality: Portugal
 
Ni kweli ila kama ni nafasi tulitengeza Mkuu. Kumbuka goli la I.Raktik, pia goli la Suarez ingawa alikuwa offside. Mbali na hizo nafasi, kumbuka Dembele aliwakosa baada ya kuangushwa na beki wa Juve ndani ya box na mpira ukawa umeenda nje (tukapata kona) kufuatia tackling ya beki wao huyo. Kadhalika pia Iniesta walimwangusha nje ya box tukapata free kick.

N.B siyo kwamba natetea, kweli mapungufu yapo kama ulivyosema ila naamini kadiri tunavyozidi kucheza mechi kibao ndio kadiri tunavyokuwa wazuri.
Dembele mkuu alioangushwa nakumbuka mpira ulipigwa mrefu sio kwamba tuli create clear chance kama tunavotengenezaga nafasi uko nyuma. Clear chance naona bado tatizo kwetu sababu Suarez anaibia sana pembeni kushoto anabaki messi kati.
Tuko pamoja mkuu nashukuru kwa maoni yako mazuri, yote hii ni katika kuijenga timu yetu tusiangalie tu positive tuangalie na mapungufu tuyajadili. Nashukuru mkuu
 
Pamoja 2po Mkuu.
 
IMG_20170915_110053.jpg

Ronaldo na record zake
 
Dembele mkuu alioangushwa nakumbuka mpira ulipigwa mrefu sio kwamba tuli create clear chance kama tunavotengenezaga nafasi uko nyuma. Clear chance naona bado tatizo kwetu sababu Suarez anaibia sana pembeni kushoto anabaki messi kati.
Tuko pamoja mkuu nashukuru kwa maoni yako mazuri, yote hii ni katika kuijenga timu yetu tusiangalie tu positive tuangalie na mapungufu tuyajadili. Nashukuru mkuu
Tuungoje performance ya Juve mechi zinazofuata ndio tu judge kama hii Barca ni invisible.Nahisi Juve are not as bad as they were made to look-time will tell
 
of course yes, Juve ni wazuri sana hasa ktk kitengo cha ulinzi. Mechi ya pili itakuwa ni kipimo kingine kwetu kuona kama Barca yetu imerudi kwenye mstari tuliouzowea.
 
Umesema kweli dada angu ila tungoje sio kila timu, tungoje timu nzuri na kubwa tutauona udhaifu wetu tukicheza nao.
Tuungoje performance ya Juve mechi zinazofuata ndio tu judge kama hii Barca ni invisible.Nahisi Juve are not as bad as they were made to look-time will tell
 
Sio kweli mkuu, Juventus ya sasa haiko vizuri kwenye idara ya ulinzi kutokana na mabadiliko waliyoyafanya maybe baadae wakizoeana.
 
Hata Barca Dembele hajazoea na Suarez bado ni ring rusty-wakikaa sawa inaweza kuwa hatari.Defence ishakaa sawa-total shutout no sniff of goal-observers wanasema things can only get better
 
Daah zimebakia dk 4 niko kwenye foleni moyo unaniuma nakosa kuangalia match from 0 minute
 
Back
Top Bottom