halafu huku vijana wetu hawana tabu kabisa wanacheza wakiwa na tabasamuNi maombi yangu tu kuwa wasije wakaja kupigana uwanjani ,najua kuna siku mmoja yatamfika tu shingoni.
Kocha wake,kutokana na maneno aliyosema baada ya mechi, inaonekana hana mamlaka/uwezo ya kuamua main man awe nani na ametaka wahusika wakae chini wakubaliane nani awe anacheza mipira iliyokufa.
Denis hawakukosea kumpa jezi ya legend xaviDennis kwa sasa anazid kukomaa ata ukimtazama amejenga kujiamini sana soon anatakuwa kama isco yule delo hakuna kitu
Denis hawakukosea kumpa jezi ya legend xaviDennis kwa sasa anazid kukomaa ata ukimtazama amejenga kujiamini sana soon anatakuwa kama isco yule delo hakuna kitu
kweli kabisa mkuu [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Sijui kwanini watu wengi wenye pure talents kama ya messi, Pele, iniesta, ronaldinho gaucho wako humble, friendly and submissive saana. Huwezi kukuta moja kati ya hawa magenius wanagombea mafree kick au penalty...hapana!
Lakini watu ambao sio pure talented huwa wanahaha sana kama neymar jnr analazimisha mafanikio bila kujua kama huko talented and blessed kila kitu huwa kinakuja automatically and uncontrolled.
You can't force free kick and set pieces ili uabudiwe kwenye team...hell no! Namuunga mkono Cavani ambanie kabisa maana asijifanye faza wakati kawakuta mafaza malegendary akina Cavani na walivumilia shadow ya cadabra before ili wapige free kick na penalty ilikuwa mpaka ibrahimovic awe na injury.
Tupe analysis mkuu, mambo yanaendaje? Vipi Dennis anakamua kinagaubaga? Niko pabaya leo siwez kuchek gameMliolala wote nawawakilisha kama kawaida yetu kuwakilishana [emoji23]