Sijui kwanini watu wengi wenye pure talents kama ya messi, Pele, iniesta, ronaldinho gaucho wako humble, friendly and submissive saana. Huwezi kukuta moja kati ya hawa magenius wanagombea mafree kick au penalty...hapana!
Lakini watu ambao sio pure talented huwa wanahaha sana kama neymar jnr analazimisha mafanikio bila kujua kama huko talented and blessed kila kitu huwa kinakuja automatically and uncontrolled.
You can't force free kick and set pieces ili uabudiwe kwenye team...hell no! Namuunga mkono Cavani ambanie kabisa maana asijifanye faza wakati kawakuta mafaza malegendary akina Cavani na walivumilia shadow ya cadabra before ili wapige free kick na penalty ilikuwa mpaka ibrahimovic awe na injury.