FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kumbukeni Camp nou pia ndio uwanja wa timu ya taifa ya Catalonia, so it's impossible kwa Barca kuendelea kucheza La liga kama catalonia itajitenga!

Ndio maana wanaplan za kuhama ligi either waende Epl, ligue 1 au serie A
 
Camp nou kuwa uwanja wao wa taifa kunaathiri vipi protocol ya ligi mkuu??? Unaweza nifungua ufahamu kwa hili tafadhali ???[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Camp nou kuwa uwanja wao wa taifa kunaathiri vipi protocol ya ligi mkuu??? Unaweza nifungua ufahamu kwa hili tafadhali ???[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Fc Barcelona inaunga mkono movement zote za kujitenga na Spain, so haitawezekana wao kuendelea kushiriki la liga wakat Wacatalunya wamejitenga!
 
Wakuu hivi Catalonia ikijitenga chama letu litacheza ligi ipi?? Apa chama si lita athirika mnoo.. Me siungi mkono Catalonia kujitenga aise..
 
Wakuu hivi Catalonia ikijitenga chama letu litacheza ligi ipi?? Apa chama si lita athirika mnoo.. Me siungi mkono Catalonia kujitenga aise..
Wewe huwezi kukubali kutokana na mahaba yako na timu.

Lakini pia natives na wao wanajua matatizo yatakayotokana na SPEXIT kwa timu yao pendwa ila maisha na ustawi wa watu wa katalunyia ni zaidi ya mpira na la liga kwa maana kuna mambo ya msingi zaidi ya timu zao za barcelona,girona na espanyol kwa hivyo wanaona ni bora kujitawala kuliko kutawaliwa kwa kigezo cha woga wa kutimuliwa kwenye la liga.

Anyway mimi naunga mkono nguvu ya demokrasia kwa watu walio ona kuwa ni vema kufanya wanachotaka kukifanya na ni matumaini yangu kuwa la liga itawabidi wabadili sheria zao za usajili wa vilabu ili waweze kutunza heshima yao na kukwepa kushuka umaarufu ambao ulikuwa tiyari unapanda kwa kasi. Ni matumaini yangu kuwa wasingependa kuona barca inajiunga na ligi nyingine kwa kukosa mechi kali kama el classico na na kuwaachia miamba mikubwa ya soka kuondoka.
 
Nasikia kuwa kwa mujibu wa viongoz wa la liga tutacheza na atletico madrid bila mashabiki
 
Oyoooo hureeeee
Finally Iniesta amesaini contract ya maisha Barcelona,mkataba ambao utamuwezesha kustaafu maisha yake yote ya football Barcelona .Finally tje storm is over now
Screenshot_2017-10-06-15-44-17.png

Screenshot_2017-10-06-15-43-16.png
 
So Jembe pamoja na umri kumtupa mkono amepewa opportunity ya yeye kula matunda aliyotengeneza Barcelona
#Forca_Barca ,hivi ndivyo njia sahihi ya kutengeneza au unawatunuku loyalty wachezaji waliokua commited na team bila shaka inatia moyo (motivation) na hata future ya vijana wengine wa Lamasia
Hope to see you one day Team Coach wa Spain au Barcelona
 
Katika ubora wako mzee.big up sana
 
ENJOY THE FOOTBALL PREDICTION & BETTING TIPS OF THE MOST BIGGEST LEAGUES TODAY ON BONGOTIPS.COM

DO YOUR KNOW HOW THE BEST WINNING OPTION OF DOUBLE CHANCE MAKES YOU TO ENJOY YOUR DAY, CLICK HERE TO SEE Double chances

18 WON , OUT OF 20 UP TO NOW......
 
Back
Top Bottom