Chausiku siyo Chamchana
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 379
- 230
Swali ni je, sababu za Israel kucheza soka barani Ulaya na iko Asia zinafit kwa Barca kucheza La Liga endapo Catalan watajitenga kwa Spain?Hii nayo itakuwa poa sana. Mbona israel inacheza soka bara la ulaya na iko Asia na hakuna noma.
Oyooo am back match ya juzi daah ilijaa sana siasa but finally we secured 3 points
Camp nou kuwa uwanja wao wa taifa kunaathiri vipi protocol ya ligi mkuu??? Unaweza nifungua ufahamu kwa hili tafadhali ???[emoji122] [emoji122] [emoji122]Kumbukeni Camp nou pia ndio uwanja wa timu ya taifa ya Catalonia, so it's impossible kwa Barca kuendelea kucheza La liga kama catalonia itajitenga!
Ndio maana wanaplan za kuhama ligi either waende Epl, ligue 1 au serie A
Fc Barcelona inaunga mkono movement zote za kujitenga na Spain, so haitawezekana wao kuendelea kushiriki la liga wakat Wacatalunya wamejitenga!Camp nou kuwa uwanja wao wa taifa kunaathiri vipi protocol ya ligi mkuu??? Unaweza nifungua ufahamu kwa hili tafadhali ???[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Wewe huwezi kukubali kutokana na mahaba yako na timu.Wakuu hivi Catalonia ikijitenga chama letu litacheza ligi ipi?? Apa chama si lita athirika mnoo.. Me siungi mkono Catalonia kujitenga aise..
Ni Athletico Madrid wenyewe hawajaamua kuuza tickets kwa mashabiki wa BarcaNasikia kuwa kwa mujibu wa viongoz wa la liga tutacheza na atletico madrid bila mashabiki
So Jembe pamoja na umri kumtupa mkono amepewa opportunity ya yeye kula matunda aliyotengeneza Barcelona
#Forca_Barca ,hivi ndivyo njia sahihi ya kutengeneza au unawatunuku loyalty wachezaji waliokua commited na team bila shaka inatia moyo (motivation) na hata future ya vijana wengine wa Lamasia
Hope to see you one day Team Coach wa Spain au Barcelona
The captain
Ni kweliNi kweli kuwa Andres Iniesta sio mkatalunya?