FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Bahati yenu mbuzi nyie.
Nendeni mkapige tena kura za kujitenga tuwapige mabomu...
 
Neymar ni bado pengo kubwa sana pale mbele, I can understand why Barca fans pissed off when he decided to leave.
 
Anashindwa , kukipanga kile kikosi, akipanga vzr, hao germany, sijui spain watakiona cha moto

Mkuu umeongea ukweli usiopingika. Akifanikisha kukipanga hicho kikosi hakuna atakaetuzuia pare urussi__tunabeba ndoo na Qatar vile vile 2nabeba.

Vivaa Argentina
Vivaa Barca
 
Neymar ni bado pengo kubwa sana pale mbele, I can understand why Barca fans pissed off when he decided to leave.

Kudroo jana ndio iwe sababu!!!! Neimar kaondoka na team inaperform vizuri sana__tatizo lipo kwa kocha kutowapanga vizuri__hilo ndio tatizo. Lakini kusema eti Neimar ni bado pengo kubwa sana pale mbele!!! Wako wengi wa kuziba ile nafac.
 
Kocha leo katuua na sub zake mbovu, kumtoa Iniesta na Semedo mi nadhani haikua sahihi. Toka mapema Gomez ilibidi ampishe Sergi Roberto yan ad leo nashangaa kwanini Sergi Roberto anachezeshwa no.2 akati kama leo nilitarajia aanze nafasi ya Gomez.

Huyu kocha wangemtimua aise.
 
Kudroo jana ndio iwe sababu!!!! Neimar kaondoka na team inaperform vizuri sana__tatizo lipo kwa kocha kutowapanga vizuri__hilo ndio tatizo. Lakini kusema eti Neimar ni bado pengo kubwa sana pale mbele!!! Wako wengi wa kuziba ile nafac.
Huyo ameijua Barca tangu aje Neymar 2014 August so sio kosa lake
Mwambie tu kwenye Barca legends mshikaji wake hayupo hata robo page na ndio maana hata hakuagwa siku anaondoka (standing ovation ) tuliolia siku Xavi anastaafu na Puyol wake au wakati Ronaldinho anaondoka kuondoka kwa neema ni maumivu tu ya kidole tena cha mwisho hata hadhi ya jeraha haijafikia
 
Ha ha ha especially mkuu..
 
timu za kupaki mabasi ndiyo hutupa shida. Siyo hao Bilbao na Sevilla. Japo hazitakuwa mechi rahisi.
Barca hatakiwi ku chase game kwa timu zinazopark bus-inabidi wakikutana na such teams nyuma kuzibwe until such time tunapopata goal,hii kukaa dakika zote na tension kwa sisi fans ni ngumu-mambo ya tension tuwaachie RM
 
Jackline 1. Upo my dada!! Kitambo aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…