Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,688
Bahati yenu mbuzi nyie.
Nendeni mkapige tena kura za kujitenga tuwapige mabomu...
Nendeni mkapige tena kura za kujitenga tuwapige mabomu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna haja S Roberto na Paulinho kocha awe anawapa 45 minutesDraw na Atletico ni kitu kizuri kwa msimu ambao RM anapigwa na Betis. Ila kuna penati yawazi naona kama tulibaniwa.
Kwahiyo unatusaidiaje?Neymar ni bado pengo kubwa sana pale mbele, I can understand why Barca fans pissed off when he decided to leave.
Kwahiyo unatusaidiaje?
Bilbao mtapoteza na Sevila mtatoshona nguvumechi ijayo na Malaga nyumbani, kisha Bilbao kwao, kisha Sevilla nyumbani.
Anashindwa , kukipanga kile kikosi, akipanga vzr, hao germany, sijui spain watakiona cha moto
Waheshimiwa Atletico, pigeni hawa Mbwa warudi Catalunya wakapige tena kura za Kujitenga..
Sawa mganga wa kienyeji, tushajua kazi yako kuwa ndio hiyo ya ramliBilbao mtapoteza na Sevila mtatoshona nguvu
Neymar ni bado pengo kubwa sana pale mbele, I can understand why Barca fans pissed off when he decided to leave.
Kocha leo katuua na sub zake mbovu, kumtoa Iniesta na Semedo mi nadhani haikua sahihi. Toka mapema Gomez ilibidi ampishe Sergi Roberto yan ad leo nashangaa kwanini Sergi Roberto anachezeshwa no.2 akati kama leo nilitarajia aanze nafasi ya Gomez.
Naongea football tu kaka, jamaa alikwiva sana kwenye your style of play. Hakuna atakayevaa viatu vyake pale kwa sasa.
Huyo ameijua Barca tangu aje Neymar 2014 August so sio kosa lakeKudroo jana ndio iwe sababu!!!! Neimar kaondoka na team inaperform vizuri sana__tatizo lipo kwa kocha kutowapanga vizuri__hilo ndio tatizo. Lakini kusema eti Neimar ni bado pengo kubwa sana pale mbele!!! Wako wengi wa kuziba ile nafac.
Huyo ameijua Barca tangu aje Neymar 2014 August so sio kosa lake
Mwambie tu kwenye Barca legends mshikaji wake hayupo hata robo page na ndio maana hata hakuagwa siku anaondoka (standing ovation ) tuliolia siku Xavi anastaafu na Puyol wake au wakati Ronaldinho anaondoka kuondoka kwa neema ni maumivu tu ya kidole tena cha mwisho hata hadhi ya jeraha haijafikia
timu za kupaki mabasi ndiyo hutupa shida. Siyo hao Bilbao na Sevilla. Japo hazitakuwa mechi rahisi.Bilbao mtapoteza na Sevila mtatoshona nguvu
Barca hatakiwi ku chase game kwa timu zinazopark bus-inabidi wakikutana na such teams nyuma kuzibwe until such time tunapopata goal,hii kukaa dakika zote na tension kwa sisi fans ni ngumu-mambo ya tension tuwaachie RMtimu za kupaki mabasi ndiyo hutupa shida. Siyo hao Bilbao na Sevilla. Japo hazitakuwa mechi rahisi.
Barca hatakiwi ku chase game kwa timu zinazopark bus-inabidi wakikutana na such teams nyuma kuzibwe until such time tunapopata goal,hii kukaa dakika zote na tension kwa sisi fans ni ngumu-mambo ya tension tuwaachie RM
Nipo,sema Barca are blowing hot and cold air-hii sio Barca tunayoijua we are winning but the entertainment index imeshuka sana-Velverde needs to sort this outJackline 1. Upo my dada!! Kitambo aise
Huyo ameijua Barca tangu aje Neymar 2014 August so sio kosa lake