FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kwa kuangalia takwimu timu ipi ni bora msimu huu? Maana unauliza ishu za football 101.
Hakika barca wameanza vizuri sana msimu huu na nnaona dalili za ubingwa zileee!! Kwa hiyo kitakwimu barca ni bora zaidi ya timu nyingine zote laliga.

Lakini sasa kwenye mechi dhidi ya Madrid, je mataweza kweli kumkalisha real madiridi ambayo inaonekana msimu huu ina kikosi kipana na kilichotengemaa kuliko nyie!?
 
Kwanini unauliza hivi mkuu....?
Zamani nilikuwa nawaonea sana huruma real maidiridi mlipokuwa mnawafunga kwa vipigo vya aibu, sasa siku hizi nimejikuta nawaonea huruma nyie naona mtateseka sana msimu huu.

Hivi kuna mtu wa kumzuia Isco pale kweli?
 
Zamani nilikuwa nawaonea sana huruma real maidiridi mlipokuwa mnawafunga kwa vipigo vya aibu, sasa siku hizi nimejikuta nawaonea huruma nyie naona mtateseka sana msimu huu.

Hivi kuna mtu wa kumzuia Isco pale kweli?
Basi kumbe wewe sio mfuatiliaji wa mpira kama hadi leo huwezi kuona kuwa barca ime improve na kuendelea kuona kuwa barca ni mnyonge mbele ya madrid basi endelea kusubiri na matokeo utayapata mwisho wa msimu......[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Reactions: PNC
Kikosi kipana kilichofungwa na bets
 
Klabu ya Barcelona inataraji kubadili jina la uwanja wao wa sasa wa Nou Camp na kuwa “Nou Camp Grifol” jina ambalo litaanza kutumika katika msimu ujao wa ligi wa 2018/2018.

Barcelona wamekubali kubadili jina hilo baada ya kusaini dili na kampuni inayohusiana na masuala ya madawa na kemikali iitwayo Grifol ambapo dili hilo linatajwa kuwa na thamani ya zaidi ya kiasi cha £340m.
 
Saikolojia yenu haiko sawa... Kisaikolojia hamko mchezoni kabisa...
Maandamano, mabomu ya machozi na vurugu zinazoendelea Catalunya zimeshawapa presha....
Hamjui hatma yenu endapo Madrid Goverment ikiamua kuwaachia Uhuru wenu, mnafukuzwa La Liga.
Kumamake ombeni Madrid Government wapeleke FFU kutuliza vurugu. La sivyo RIP UEFALONA
Na leo mnapigwa tuu... Saikolojia yenu haiko mchezoni tena.
 
Dada mambo?
 
Reactions: PNC
Jaman kama kuna mtu yupo group lolote la barceloona naomba kuadiwa kwa 0656221353
 
We Kilaza subiri mda ufike uje utueleze.
 
Baada ya game, rudi hapa hapa. Fyoko Wewe!!!.
 
Atletico Bilbao mnazo sababu kubwa 3 kuwafunga hawa Mbwa Leo:

1. Bibi yao Iniesta kavunjika kiuno, pale kati leo njia nyeupeee...
2. Dada Maserano amekuja kusindikiza tu timu, hataingia uwanjani. Namba sita njia nyeupee...
3. Wana uchovu wa Maandamano, Mabomu ya machozi ya jana wakidai waachiwe Catalonia yao kutoka kwa Mabepari wa jiji la Madrid.

Pigeni hawa Mbwa kesho niamke na hela ya supu.
 
Kumbe masherano ni namba 6?
 
Reactions: PNC
Huyu msichana sijui ameshavunja ungo?
Lets go leo tunaona game Velverde against former team tunatakiwa tushinde nyingi sana ndo nature inavyosema yuko na better club
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…