Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
Hakika barca wameanza vizuri sana msimu huu na nnaona dalili za ubingwa zileee!! Kwa hiyo kitakwimu barca ni bora zaidi ya timu nyingine zote laliga.Kwa kuangalia takwimu timu ipi ni bora msimu huu? Maana unauliza ishu za football 101.
Lakini sasa kwenye mechi dhidi ya Madrid, je mataweza kweli kumkalisha real madiridi ambayo inaonekana msimu huu ina kikosi kipana na kilichotengemaa kuliko nyie!?