FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Wakuu tumrpatwa na nibu. Stergen kawa muokozi wetu hapa. Jamas wamekosa goli la wazi
 
Speaking of the devil. Kapiga post hapa.
Ha ha ki football lile ni goli cos akipiga mara mbili lazima atie kwenye kamba
Halafu Paulinho huyu ni beast nouma tayari within a short time ameshatengeneza dual na Messi ,tena Messi is so eager akiwa anampasia mpira Paulinho tena sometimes hua anamtafuta sana
 
K
kuna dogo MD ana 18 anaitwa Oriol Busquets naona yuko sub. Una ABC zake?
 
K

kuna dogo MD ana 18 anaitwa Oriol Busquets naona yuko sub. Una ABC zake?
Huyu dogo honestly simjua tofauti na Carles Arena halafu juzi kuna dogo kafunga kwenye Debut somebody Jose Arnaiz ....nasikia ni mzuri sana nitatafuta kwenye arhieve zao
Moja ya terms ya contract ya Velverde ni kuibua vipaji vya Lamasia naona ameanza vizuri na project
 
Hawa Athletico Bilbao wanajua mpira ,ni mediocre team ila uwanja wa kwao unaweza ukakaa
Walibadilisha sana game kipindi cha pili wakawa wana control wao 60%
 
Kench type! Wewe fyoko kweli, lete tena fyoko fyoko zako hapa! Dadadadeki!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…