FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Speaking of the devil. Kapiga post hapa.
Ha ha ki football lile ni goli cos akipiga mara mbili lazima atie kwenye kamba
Halafu Paulinho huyu ni beast nouma tayari within a short time ameshatengeneza dual na Messi ,tena Messi is so eager akiwa anampasia mpira Paulinho tena sometimes hua anamtafuta sana
 
K

kuna dogo MD ana 18 anaitwa Oriol Busquets naona yuko sub. Una ABC zake?
 
K

kuna dogo MD ana 18 anaitwa Oriol Busquets naona yuko sub. Una ABC zake?
Huyu dogo honestly simjua tofauti na Carles Arena halafu juzi kuna dogo kafunga kwenye Debut somebody Jose Arnaiz ....nasikia ni mzuri sana nitatafuta kwenye arhieve zao
Moja ya terms ya contract ya Velverde ni kuibua vipaji vya Lamasia naona ameanza vizuri na project
 
Hawa Athletico Bilbao wanajua mpira ,ni mediocre team ila uwanja wa kwao unaweza ukakaa
Walibadilisha sana game kipindi cha pili wakawa wana control wao 60%
 
Atletico Bilbao mnazo sababu kubwa 3 kuwafunga hawa Mbwa Leo:

1. Bibi yao Iniesta kavunjika kiuno, pale kati leo njia nyeupeee...
2. Dada Maserano amekuja kusindikiza tu timu, hataingia uwanjani. Namba sita njia nyeupee...
3. Wana uchovu wa Maandamano, Mabomu ya machozi ya jana wakidai waachiwe Catalonia yao kutoka kwa Mabepari wa jiji la Madrid.

Pigeni hawa Mbwa kesho niamke na hela ya supu.
Kench type! Wewe fyoko kweli, lete tena fyoko fyoko zako hapa! Dadadadeki!!!
 
Back
Top Bottom