FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FF Asalaam Alekum! Pressure zikohigh hapa, mabo ya jukwaa haijali!
 
Dah! ile nayo ni yellow card? Ramos nje. Two yellow cards
 
Sergio Ramos [Madrid] anapewa kadi nyekundu! Madrid 10 Barca 11
 
Mpira umekwisha kama magoli yote ya Madrid yangehehesabika ingekuwa Madrid 3 Barca 2!
 
Vivé le Barça!
Ila wanacheza sana mpira wa kishosti, umbea unakuwa mwingi kiasi kwamba hata utamu wa soka lao unakuwa spoilt...
Raha ya soka ufungwe kihalali, wenyewe wanasema kiroho safi.
Nimekereka kwa kweli.
 
hizi timu ndogo zimekuwa zikadhia kweli daah ila we still hope visca el barca

Tatizo ni line up zinzzobadilika kila mechi, mfano mechi hii na osasuna Pep aliweka midfield ya Thiago Mascherano Sergi Roberto, ambao hawajawahi kucheza pamoja hata mechi moja, so ikawa ngumu kupanga namna ya kulinda na kushambulia, kingine ni kuwa tuliwafunga osasuna 8-0, mechi ya kwanza na tukakutana kwenye Copa na kuwafunga mechi zote kwa hiyo walijiandaa kikamilifu kuikabili Barca.
 
FC BARCELONA 7-BAYER LEVERKUSEN 1

Aggregate 10-2.BARCA are in the quaters final.Good luck to whoever faces them!!

MESSI hits five cripes,First time ever in the champions league for someone to score five.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…