Messi Kiboko hata Babu yangu asiyependa mipira anamjuwa Messi ni nani anasema Huyu ndio mchezaji wake anamfanya apende kidogo mpira sababu anaonyesha Arts of Football na akila nikikaa nasikia tu Messi Messi Messi atakuwa huyu mtu anatumia jina la mwanzo Messi na La Kati Messi na La Mwisho Messi.
Ikiwa Barcelona watashinda na kuingia nusu fainali itakuwa timu ya pili kuingia nusu fainali katika misimu mitano mfululizo baada ya Real Madrid kufanya hivyo kwenye miaka ya 1956-1960.
Mechi hii inaonekana ikaishia kupigiana penalti kwani tactically AC Milan leo wameshindwa ku-employ tactic ya kuwabana wachezaji wa pembeni wa Barca na Barca wameweza kucheza kwa kasi na kuwazidi nguvu AC Milan.
Kama Barcelona hawatafnga goli la pili basi AC Milan wanaweza kurudisha goli na kufanya mchezo uwe wa kukisia nani atafunga goli la ushindi.
Ila Hawajamaa hatari Ila Kama Kweli unawapania Xabi asichezeshe na eniesta asiguse mpira basi labda ndio kuna kijinafasi cha Ac Milan kushinda angalau Goal la Away ila dalili zitanyesha ma goal hapo si muda mdogo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.