FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Goaaaaaaaaallll Kilipenya kwa mabeki uliona Mzee OX kama Kipanya kinakwepa Mtego Hana adabu huyu.
 
Leo inaonekana Barca wamekuja na hii "game plan".

Huwezi ukawa unafunga kwa penalti tu bila hata goli moja la open game.
 
inaonekana ka ac milan watashinda, refa kalalia barca..au nina makengeza??!!
 
Clarence Seedorf amechoka angeanza kwa kukaa bench.

Anapoteza sana mipira katikati na anaacha gap kubwa ambayo inatawaliwa na midfilders wa Barca.
 
Then they are actually winning the game on penalties....This kind of officiating is disgusting.
 
Hawa Mashabiki wa Barca wanatizama na ushangiliaji namna Gonga kama Vile ile MATADOR ya kumsumbua Bull na Kitambaa cha RED!
 
Barca-Chelsea then Bayern-R Madrid Mbona kutapendeza then zikutane Barca na Real Madrid Piga uwa safarihii Barca anaumia.
 
Back
Top Bottom