FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Roberto Aquilani hana ubavu sana wa kucheza kwenye midfield na ndio maana hakucheza sana pale Liverpool.

Sijui ni kwanini hakumwingiza Emanuelson au Pato ambayo ni attacking minded.

Ibrahimovic nae alitakiwa aanze kkwa kukaa bech na Pato angeanza.

Hii game ni ngumu kwa AC Milan. watafukuza sana upepo.

Anyway 15 minutes to go.
 
Pato Mbovu wa Miguu nafikiri...... alafu Dogo inaonekana naye kashachoka na Milan.
 
nilikuwa siangalii Game tena sikujuwa hata kama Pato aliingia.
 
mimi binafsi barcelona na manu....siyapendi haya matimu mawili ...!

Mkuu haunishindi mie ninavyo yachukia hayo matimu mawili. Kikubwa kinachonikera kuhusu hayo matimu ni yanavyobebwabebwa waziwazi alafu yakishabebwa yanajiona booooooora!
Mpaka walainishiwe na marefa ndio wasinde...?? Hovyo kabisa!
 
Muchas gracias Barcelona...! refa wa leo alipenda puliza filimbi na kutoa mikadi kila saa!..mechi haikunoga kivile
 
Mie naona kama penati ya pili ndio ilikua soft, ya kwanza jamaa kacheza rafu kutoka kwa nyuma hile refa akuachii wala kwa dawa na kulikua na contact ya kutosha tu.

The fact that kila mtu anaona penati ya kwanza au ya pili ilikuwa sawa means they were all correct. Utamvutaje mtu shati kwenye 18??? Mnafikiri huyo refa ni Isreal Nkongo?
 
9260641.jpg

4333.png

Mie naona kama penati ya pili ndio ilikua soft, ya kwanza jamaa kacheza rafu kutoka kwa nyuma hile refa akuachii wala kwa dawa na kulikua na contact ya kutosha tu.
Mkuu Ox ya kwanza Nesta alislide lakini Messi akaukanyaga mguu wa Nesta hivyo haikuwa Pen ya halali ila UEFAlona ilikuwa inafanya kazi pale. Pen ya pili ilikuwa ya kibwege zaidi kusukumana ipo hasa kwenye kusubiria kona, au kila mechi kungekuwa na Pens kumi kumi. Goli la tatu Pique alimshika Ibra refa akapotezea(alipaswa atoe pen kama alivyowapa barca kabla) Valdes akaanzisha mbele haraka haraka.
 
[TABLE="class: uiGrid fbPhotoImageStage"]
[TR]
[TD="class: vMid hCent stageContainer"]
252806_181864261867861_172810292773258_452685_7128012_n.jpg

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: buttonsContainer"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: uiGrid fbPhotoPageInfo"]
[TR]
[TD="class: vTop fbPhotoUfiCol"][/TD]
[TD="class: vTop fbPhotoDataCol"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Back
Top Bottom