FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Messi Kiboko hata Babu yangu asiyependa mipira anamjuwa Messi ni nani anasema Huyu ndio mchezaji wake anamfanya apende kidogo mpira sababu anaonyesha Arts of Football na akila nikikaa nasikia tu Messi Messi Messi atakuwa huyu mtu anatumia jina la mwanzo Messi na La Kati Messi na La Mwisho Messi.
 
mimi binafsi barcelona na manu ni afadhali hata ya ccm ...siyapendi haya matimu mawili lakini ndiyo hivyo tena huwa yanashindashinda tu...!
 
Ikiwa Barcelona watashinda na kuingia nusu fainali itakuwa timu ya pili kuingia nusu fainali katika misimu mitano mfululizo baada ya Real Madrid kufanya hivyo kwenye miaka ya 1956-1960.
 
Barcelona ikishinda na kisha Chelsea nao wakashinda,hapo ni kivumbi na jasho nusu final.
Kwa lugha nyepesi Chelsea nao out!
 
Mechi hii inaonekana ikaishia kupigiana penalti kwani tactically AC Milan leo wameshindwa ku-employ tactic ya kuwabana wachezaji wa pembeni wa Barca na Barca wameweza kucheza kwa kasi na kuwazidi nguvu AC Milan.

Kama Barcelona hawatafnga goli la pili basi AC Milan wanaweza kurudisha goli na kufanya mchezo uwe wa kukisia nani atafunga goli la ushindi.
 
Ila Hawajamaa hatari Ila Kama Kweli unawapania Xabi asichezeshe na eniesta asiguse mpira basi labda ndio kuna kijinafasi cha Ac Milan kushinda angalau Goal la Away ila dalili zitanyesha ma goal hapo si muda mdogo.
 
1-1 sasa Ukisikia Madenge Kapiga dude La Nyuki na Manati ndio hiyo hapo Nyuki sasa wataamka! tizameni gonga sasa kama wanacheza Drafti.
 
Back
Top Bottom