FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Leo ndo leo, tunapambana na Sevilla naziona kabisa point 3 hizi tushamaliza maandalizi yote na tuna uhakika leo tutashinda kwa kishindo.
Usingoje kupewa umbea, ikifika saa 4 na dk 45 usiku kaa karibu na TV yako uone namna Luis Suarez anavorejea kwa kishindo baada ya ukame wa mda mrefu.
 
It's an important match to win, hatujapoteza match yoyote mpaka sasa so tukimcrush sevilla tutakua kwenye nafasi nzuri sana.

Watani wetu bado hawajakwaa visiki vigumu vya laliga, kwahiyo tukipita salama tutakua kwenye mazingira mazuri sana.

With a consistent winning momentum, we can declare laliga as our personal property by January!
 
Mechi ya leo inabidi Tushinde. Iniesta kuna 50/50 ya kucheza. Tukishinda hii mechi ngumu itabaki ya Valencia tu. Hao RM hatuwahesabii maana kesho wanaweza pigwa na Las palmas.
 
Valencia anaongoza 3-0, akishinda gap ni point moja. Itakuwa vyema sana leo kama The King ata step up kwenye mechi yake ya 600 kutuongoza kuwashinda Sevilla.
 
Mechi ya leo inabidi Tushinde. Iniesta kuna 50/50 ya kucheza. Tukishinda hii mechi ngumu itabaki ya Valencia tu. Hao RM hatuwahesabii maana kesho wanaweza pigwa na Las palmas.

Hivi kumbe real madiridi ndio amekuwa kibonde kiasi hiki yaani mpaka unaona atapigwa na Las palmas! Daaaah!!
 
Hivi kumbe real madiridi ndio amekuwa kibonde kiasi hiki yaani mpaka unaona atapigwa na Las palmas! Daaaah!!
Msimu uliopita madrid alidraw mechi zote na palmas. Sema msimu huu wamebadirika sana na kocha siyo yule.
 
Back
Top Bottom