Kakudanganya Yule mtoto mchele hata pumbu hazifanyi kazi ,alikua anajipiga dole
Mechi ya leo inabidi Tushinde. Iniesta kuna 50/50 ya kucheza. Tukishinda hii mechi ngumu itabaki ya Valencia tu. Hao RM hatuwahesabii maana kesho wanaweza pigwa na Las palmas.
Msimu uliopita madrid alidraw mechi zote na palmas. Sema msimu huu wamebadirika sana na kocha siyo yule.Hivi kumbe real madiridi ndio amekuwa kibonde kiasi hiki yaani mpaka unaona atapigwa na Las palmas! Daaaah!!
Kwa hiyo kumbe kuna uwezekano na kesho akachezea kwa Las palms kama ni hivyo, na ndio utakuwa mwisho wa Zidane pale bernabeu maana Mzee Perez hajuagi kufungwa yule.Msimu uliopita madrid alidraw mechi zote na palmas. Sema msimu huu wamebadirika sana na kocha siyo yule.
Huyu dogo ni kwanini huwa kocha ana mwamini sana wakati yuko slow!Bila shaka ndani ya huo mwezi Dennis ataupiga sana.
Umepotea sanaIla Tottenham wiki hii walinifurahisha sana kwa kurudisha heshima ya EPL.
Nipo mkuu!! Jf is our online homeUmepotea sana
Hahahaha ushindwe na ulegee.Sevilla piga nguruwe hawa....
Makahaba bhanaSevilla piga nguruwe hawa....
Baada ya game, wewe ndiyo utagundua kuwa ni Nguruwe halisi na ndiyo maana unatufananisha na Wewe hapoSevilla piga nguruwe hawa....
Kwa Mara ya kwanza nimehisi kuanza kushabikia EPL ,team ikiwa ni TottenhamIla Tottenham wiki hii walinifurahisha sana kwa kurudisha heshima ya EPL.