Dennis akicheza winger huwa anacheza vizuri sana. Ila lakipiga kati naona ndiyo hawi vizuri.Huyu dogo ni kwanini huwa kocha ana mwamini sana wakati yuko slow!
Ndugu mbona haijawahi kutokea ccnp enginer mjinga hivyoSevilla piga nguruwe hawa....
Ha ha ha [emoji23][emoji23][emoji23] ni style kali sanadk ya 10. zaidi ya nusu ya wachezaji wa sevilla hawajabahatika kugusa mpira.