No, tena nafurahi sana maana jinsia yenu walio wengi hawafuatilii mpira wa miguu.Kwani kuna ubaya nikiwepo huko?
No, tena nafurahi sana maana jinsia yenu walio wengi hawafuatilii mpira wa miguu.
Leo game saangapi?
Usijali mkuu vuta kiti uangalie Leganes anavokufa goal 3Niulieni hao vichwa panzi nimebet leo