FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Tetesi
ARSENAL YAACHA KUMFUKUZIA LEMAR


Arsenal wameamua kuachana na mpango wa kumsajili Thomas Lemar na wanaangalia mbadala mwingine kwa mujibu wa habari kutoka Mirror.
Ofa ya Gunners ya paundi milioni 90 ilitolewa nja na Monaco kwa ajili ya nyota huyo wa Ligue 1 - Liverpool na Barcelona zinatamani kuipata saini yake.
 
Screenshot_2017-11-18-17-01-09-1.png
 
Umtiti ndio anaeongoza la liga yote kwa kutoa pass,wenyeji wanalalamika imekuaje defender aongoze-kwa mtindo wa tiki taka midfielders ndio wanatakiwa waongoze kwa ku spray passes left,right and centre-wanadai Velverde anakiuka principles za Barca kwa kuchukua ubingwa kwa mabavu na sio in style
 
Nasikia wako powa sana kwa Ku defend, but lazima tuwapige kadhaa hapo. Ngoja tuone
 
Timu bado haijatulia kabisa hakuna ile burudani tuliyoizoea.

Naona halafu wachezaji wapo off mood leo hasa mbele kule.
 
Kwa mara ya kwanza namuona Messi hayuko kwenye form anachoma hadi pasi leo
 
Back
Top Bottom