Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke wangu upo?
Yap I think soItakua adhabu alipunguziwa sio bure
Dk ya kumi. So far so good.
Wakati ilitakiwa tuwapige kwani msimu uliopita wao walitutwanga ujue...!!!
We jamaa bange eti kuna MTU kakuuliza kashobokee to your threadMpaka dakika hii ya 36:
Juve zero - Mbwa zero.
Leo Paris anauaMoneymar kawasha moto huko PSG. Hiv i paulinho alistahili kadi pale?
We jamaa bange eti kuna MTU kakuuliza kashobokee to your thread
Sent from my TECNO-Y3
Labda Barca unayochezea ww na wakwenuThread ipi... Kuna thread nyingine ya mashabiki wa Baka tofauti na hii kwani???
Mie ni shabiki namba moja wa Baka. Sasa sijui unataka niende wapi...
Juve pigeni hawa Mbwa
Huyu jamaa anakuja huku kufanya biashara zake ,sisi wote tumeoa hukuNdoto za saa saba mchana hizi!!!
Juve pigeni Mbwa hawa
Of courseHT 0-0 . Nimeridhika na tulivyocheza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu jamaa anakuna kufanya biashara zake ,wote huku tumeoa