Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Hakuna mtihani kwenye makundi mtihani upo mbeleRoho inaniuma nikiona mambo ya Neymar PSG.
Linganisha timu walizocheza nazo ndo utajua kwa nini half time walifunga goli 4Sisi mashabiki wa Baka ni Faeces kabisa.
Yaani half time bila bila na tunasema eti tumeridhishwa na uchezaji wa timu yetu.
Wakati wenzetu Madrid jana mida kama hii walikua washachakaza mtu.
Wachekini PSG huko Half Time washa kojoa magoli manne
Sisi mashabiki wa Baka ni Faeces kabisa.
Yaani half time bila bila na tunasema eti tumeridhishwa na uchezaji wa timu yetu.
Wakati wenzetu Madrid jana mida kama hii walikua washachakaza mtu.
Wachekini PSG huko Half Time washa kojoa magoli manne
hivi bayern Mechi ya kwanza alimfunga ngapi Psg??? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Celtic nayo timu!! 😀😀 Hajakutana na wababe wakina juve atletico, buyern na tottenham____kwa Barca usiulize why sikumtaja? sio wa level yake,,
Kama ni Barcelona ingempiga uyo celtic goli 10 za chap chap.
So nakuhakikishia PSG hafiki kokote,,
Huyo Madrid wako kacheza na APOEL Nicosia,, kitim nacho hicho 😀😀
Kwa Tottenham mbona kachemsha!!!!!!
au umeanza kuichukia Psg kwavile Neymoney kahamia kule??Celtic nayo timu!! 😀😀 Hajakutana na wababe wakina juve atletico, buyern na tottenham____kwa Barca usiulize why sikumtaja? sio wa level yake,,
Kama ni Barcelona ingempiga uyo celtic goli 10 za chap chap.
So nakuhakikishia PSG hafiki kokote,,
Huyo Madrid wako kacheza na APOEL Nicosia,, kitim nacho hicho 😀😀
Kwa Tottenham mbona kachemsha!!!!!!