FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Zamani Barca akicheza,the next day unaingia youtube na kuangalia magoli over and over again-but now slender wins hata youtube huitaki,amestifle wingers kiasi kwamba wamesahau hata kutoa killer passes.Barca wanapeana mpira wenyewe ku control tempo ya game(hapa ukiwa shabiki wa opposing team lazima utoe matusi).Velverde ameona alternative ya ku park bus ni kuhold on to the ball. We may be winning lakini tuna bore.Anyway cause tuna hasira na ubingwa tutavumilia mpaka kieleweke
 
Labda ameamua kuhold on akisubiria cavalry(usajili wa january na Dembele kurudi). Ila mimi style yake inanifurahisha sana. Kukosa kwetu magoli siyo EV tu wa kulaumiwa. Suarez naye ana sehemu yake.
 
Labda ameamua kuhold on akisubiria cavalry(usajili wa january na Dembele kurudi). Ila mimi style yake inanifurahisha sana. Kukosa kwetu magoli siyo EV tu wa kulaumiwa. Suarez naye ana sehemu yake.
kukosa magoli hatumlaumu yeye,sisi tunataka free flowing football for which Barca ndio trademark-hii safety first option inatutesa-ajabu sana match against Juve,Barca kaja uwanjani kutafuta draw-this has never happened before-siku zote Barca never throw caution to the wind-always vita inapiganwa in enemy territory.Sasa tumeshakuwa Real M,tuna grind out results
 
au umeanza kuichukia Psg kwavile Neymoney kahamia kule??

Inahusiana nini ya Neimar. Kwaiyo neimar ndiyo kaibeba ile timu??? Kaikuta imekamilika

Tumia lugha yetu. Wengi wa jamiiforum tumeishia darasa la saba.
 
Upo sahihi sana dada. Maybe Pep will be back after successful spell with Man City.
 
Lionel Messi amemfikia Cristiano Ronaldo baada ya kutwaa tuzo ya nne ya kiatu cha dhahabu Ulaya baada ya kuipokea tuzo hiyo Ijumaa.
Supastaa huyo wa Barcelona ameshinda tuzo hiyo kama kinara wa mabao barani Ulaya - kwa mabao yake 37 La Liga 2016-17.
Ni mara ya nne Messi ametwaa kiatu cha dhahabu, baada ya kufanikiwa hivyo pia 2010, 2012 na 2013.
Kiwango chake safi kimemwezesha kumpiku Bas Dost wa Sporting CP, ambaye amefunga mara 34 Primeira Liga, wakati Pierre-Emerick Aubameyang aliingia tatu bora akiwa na magoli 31.
 
Kiungo wa kati wa Arsenal Mesut Ozil anaitaka Barcelona kumlipa dola 370,000 kwa wiki ili kujiunga nao mwezi Januari.Mkufunzi wa Gunners yuko tayari kumwachilia mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 ili asijiunge na Man United wakati mkataba wake utakapokamilika mwishoni mwa msimu ujao. (AS)
 
Wapelekee man. U hyo
 
Kumbe hauvumi lakini umo enh???
 

Tunamtaka Dybala. Fanya kampango basi
 

Safi sana Mzee.sikujua upo upande wa Mchezaji bora kuwahi kutokea/ King Messi.

Ubarikiwe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…