Hatumtaki
Kumbe hauvumi lakini umo enh???
Chama langu hili...Hhahahaa hadi huku upo!?
Chama langu hili...
Kama si hapa utanikuta kule kwa Majogoo ya London...
Au Simba ya Kariakoo
Hahahhaa mi mpole kama Lionel Messi...Aahaa kumbe,upo vizuri babu kijana usie mkorofi
Hahahhaa mi mpole kama Lionel Messi...
Sina makuu, natupiamo tu.
Tunamtaka Dybala. Fanya kampango basi
Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi ametia saini kandarasi mpya huku wale wanaomtaka kumnunua wakilazimika kugharamia thamani yake ya Yuro milioni 700.
Mchezaji huyo wa Argentina mwenye umri wa miaka 30 sasa atasalia Barcelona hadi msimu wa mwaka 2020-21.
Tangu alipojiunga na Barcelona akiwa na umri wa miaka 13, Messi ameisaidia Barcelona kushinda mataji manane ya ligi ya Uhispania na kushinda kombe la vilabu bingwa mara nne.
Messi ambaye kandarasi yake ya awali ilitarajiwa kukamilika mwaka ujao amefunga mabao 523 katika mechi 602 alichocheza.
Hivi majuzi alitunukiwa tuzo ya mchezaji aliyefunga mabao mengi baada ya kufunga mabao 37 katika ligi ya Uhispania msimu uliopita.
Barca hatutakagi warembo ka yuleKawaambie wenye timu
Majogoo ya wp?Chama langu hili...
Kama si hapa utanikuta kule kwa Majogoo ya London...
Au Simba ya Kariakoo
$875000 a week? acha uwongoLionel Messi's new contract:
* $875,000-a-week
* $205,000,000 over the 4.5 years
* $140,000,000 signing bonus
* $1,100,000,000 release clause
Worth every cent.
[HASHTAG]#Messi2021[/HASHTAG] [HASHTAG]#FCBarcelona[/HASHTAG]
Nimeona ameshasaini ha ha release clause tumejifunza sana issue ya Neymar lazima iwe billions of money dadadekiLionel Messi's new contract:
* $875,000-a-week
* $205,000,000 over the 4.5 years
* $140,000,000 signing bonus
* $1,100,000,000 release clause
Worth every cent.
[HASHTAG]#Messi2021[/HASHTAG] [HASHTAG]#FCBarcelona[/HASHTAG]
In short mchango wa Cavajal au Verane RM kitimu ni mkubwa sana ukilinganisha na Ronaldo hapo sijamtaja Isco wala Modric Luka ,Tony kroos wala Cesamiro