FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

BARCELONA KUACHANA NA MPANGO WA KUMSAJILI OZIL

Barcelona bado wanasita kuhusu kumsajili mchezaji wa Arsenal, Mesut Ozil, wanawaza bado kama wamsajili au waache, kwa mujibu wa Sport .
Klabu hiyo ya Catalan imekuwa ikimfuatilia nyota huyo wa Gunners kwani mkataba wake na klabu hiyo ya London Kaskazini unakaribia kufika mwisho, lakini wanahofu jinsi anavyoishi kwani anaweza kuathiri ufanisi dimbani.
Tunamtaka Dybala. Fanya kampango basi
 
Mshambuliaji wa Barcelona Lionel Messi ametia saini kandarasi mpya huku wale wanaomtaka kumnunua wakilazimika kugharamia thamani yake ya Yuro milioni 700.
Mchezaji huyo wa Argentina mwenye umri wa miaka 30 sasa atasalia Barcelona hadi msimu wa mwaka 2020-21.
Tangu alipojiunga na Barcelona akiwa na umri wa miaka 13, Messi ameisaidia Barcelona kushinda mataji manane ya ligi ya Uhispania na kushinda kombe la vilabu bingwa mara nne.
Messi ambaye kandarasi yake ya awali ilitarajiwa kukamilika mwaka ujao amefunga mabao 523 katika mechi 602 alichocheza.
Hivi majuzi alitunukiwa tuzo ya mchezaji aliyefunga mabao mengi baada ya kufunga mabao 37 katika ligi ya Uhispania msimu uliopita.
 
Huyo ndie the King hafananishwi na yeyote. Asante sana mkuu.
 
Lionel Messi's new contract:
* $875,000-a-week
* $205,000,000 over the 4.5 years
* $140,000,000 signing bonus
* $1,100,000,000 release clause

Worth every cent.

[HASHTAG]#Messi2021[/HASHTAG] [HASHTAG]#FCBarcelona[/HASHTAG]

b565c305cbbebedd7ff7061359979a64.jpg
 
$875000 a week? acha uwongo
 
Lionel Messi's new contract:
* $875,000-a-week
* $205,000,000 over the 4.5 years
* $140,000,000 signing bonus
* $1,100,000,000 release clause

Worth every cent.

[HASHTAG]#Messi2021[/HASHTAG] [HASHTAG]#FCBarcelona[/HASHTAG]

b565c305cbbebedd7ff7061359979a64.jpg
Nimeona ameshasaini ha ha release clause tumejifunza sana issue ya Neymar lazima iwe billions of money dadadeki
 
Jamani najiandaa kutangaza aibu ya Madrid dk ya 75 wako draw na malaga ya 2-2 tena Bernabeu
 
In short mchango wa Cavajal au Verane RM kitimu ni mkubwa sana ukilinganisha na Ronaldo hapo sijamtaja Isco wala Modric Luka ,Tony kroos wala Cesamiro

Nakuona kitambo tu, mishipa inakusimama kumfatilia Ronaldo (best player 2017) sijui ulitaka awe bwana wako...
 
Back
Top Bottom