halafu bado kidogo watufunge conterattackLimenitoka tusi goli letu lilipolataliwa hadi jirani wamenisikia
Bana hii Spain utafikiri dunia ya tatu khaaaaa!!!!!!!! yaani hakuna goal line technology!!!!huu mpira unapigwa siyo wa sayari hii. nasikia kama mashabiki wa Valencia wanatupigia makofi?
Yaani, ile Barca Tuliyoimiss siku nyingi leo ipo mubashara hapa. Aisee, mpira uliopigwa hadi raha unaisikia ndani ya moyo wako....Messi10 ni Alien ule msako wa goli tulilohujumiwa siyo wa sayari hii...Bana hii Spain utafikiri dunia ya tatu khaaaaa!!!!!!!! yaani hakuna goal line technology!!!!
WEWE SHOGA VIPI MBONA UMEKULA HELA YANGU JICHO HUJALETAValencia msiniangushe jamani.