FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Bana hii Spain utafikiri dunia ya tatu khaaaaa!!!!!!!! yaani hakuna goal line technology!!!!
Yaani, ile Barca Tuliyoimiss siku nyingi leo ipo mubashara hapa. Aisee, mpira uliopigwa hadi raha unaisikia ndani ya moyo wako....Messi10 ni Alien ule msako wa goli tulilohujumiwa siyo wa sayari hii...
 
Back
Top Bottom