Nachokiona wachezaji sasa wanashindwa kuzitumia au kuendana na pass za messi.Messi ana poteza sana pasi.
naona Neymar katupia huko. tutammiss sana.FT 1-1. Sio mbaya ngoja niwachungulie PSG
hii gem ya monaco vs psg haina kashkash kama ya valencia vs barcanaona Neymar katupia huko. tutammiss sana.
valencia has to be the fittest team in la ligaNimependa kasi ya Valencia na aggressiveness yao Madrid alifungwa kwa haki kumbe
Denis copy ya isco kila kitu lakin mwalimu natuwekea yule mkimbia riadha Moira hajui anafikiri tupo uingerezaDenis hanatofauti na Isco
Uyo gerad deloufue kazidiwa kiwango na pastor atanasiDenis copy ya isco kila kitu lakin mwalimu natuwekea yule mkimbia riadha Moira hajui anafikiri tupo uingereza
We ndo ulicema shabiki wa barca damu cio bure umetomaswa wwNakuona kitambo tu, mishipa inakusimama kumfatilia Ronaldo (best player 2017) sijui ulitaka awe bwana wako...