mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,736
Haviwezi kutofautiana so kila mtu yuko right hadi sasa hiviKumbe alichokiandika ni kilichomo ktk mkataba aliosaini wakala wake na c katika mkataba aliosaini messi kwani vinaweza kutofautiana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haviwezi kutofautiana so kila mtu yuko right hadi sasa hiviKumbe alichokiandika ni kilichomo ktk mkataba aliosaini wakala wake na c katika mkataba aliosaini messi kwani vinaweza kutofautiana
Me binafsi naona kama Velverde kwakua ana lack wingers ameamua tu kutumia katikati (central penetration) thats why brother match 5 alizocheza amepigwa sana offside na opponents wana tend ku concentrate kwenye mlango tunaotaka kuingilia na kufanya game kua ngumuJana ndio ilikuwa Barca original-free flowing football,Tatizo kubwa ni wings za Barca,defenders wa opposing teams wako comfortable wanajazana kati bila wasiwasi,alaafu side defenders wao wana overlap at will-yaani ile width ambayo Barca wana operate at maximum haipo-tazama jana Semedo alivyopata taabu-two players were coming on his flank cause the winger upfront was missing.Sijui Dembele atarudi lini? na we need another wide man-bila width tuta struggle to break down teams.Ukosefu wa width unasababisha Suarez awe offside frequently.All in all Barca it seems is complete,inahitaji twitches kidogo tu
Xawa watu ka ww ndo tunawahitaji humu cio yule anayejifanya mjuajiHaviwezi kutofautiana so kila mtu yuko right hadi sasa hivi
Inabidi hili tatizo ajaribu kurekebisha January transfer window-haipendezi sisi ku dominate game alaafu goals ziwe hard coming byMe binafsi naona kama Velverde kwakua ana lack wingers ameamua tu kutumia katikati (central penetration) thats why brother match 5 alizocheza amepigwa sana offside na opponents wana tend ku concentrate kwenye mlango tunaotaka kuingilia na kufanya game kua ngumu
Christina settini(Forbes staff)Ungesema nilete source yangu na si kunizushia uongo. We umetoa Forbes I respect that nami nilitoa FoxSport.
FOX SPORTS
Lionel Messi, Barcelona contract news: New deal with $1.1 billion release clause
BARCELONA have finally confirmed a new contract for superstar Lionel Messi which will keep him at the club until 2021.
The club had previously stated in July that Messi had signed a contract, but no signature had confirmed the deal.
Now, with a staggering €700m (AU$1.1 billion) release clause, Messi will be contracted until he’s 34 years old.
Messi will also earn an £80m ($140m) signing bonus AND £500,000-a-week ($875,000) for the next four and a half years, totalling $205m.
Haya verify ukweli wa Forbes against data za FoxSport
Abel Ruiz eeh dogo noma xana apandishwe 2Suarez makali yameisha, anatoa boko sana,
Ningependa kuona anakaa bench, halafu Ernesto atafute dogo mmoja kutoka La Masia mwenye damu ya Barcelona (jamii ya Abel Ruiz) tuone moto wao
Christina settini(Forbes staff)
According to Spanish paper El mundo Messi will receive $59.6 signing bonus.
Two Forbes sources say Will earn $667000 a week.Last season he made $50 in salary and bonus for his efforts on the pitch.
Ila hayo yote ya nn ngoja tusubiri itangazwe officialHaya Mr ROBERTO 20 Forbes ni wakweli zaidi na Fox Sport ni waongo zaidi.
Yaani we acha tu winger lazima aje me nilishasema muda kidogo tunamahitaji sana ya Winger ,kama tukimpata Grieman ,au coutinho itapendeza vizuri au hata Antony MartialInabidi hili tatizo ajaribu kurekebisha January transfer window-haipendezi sisi ku dominate game alaafu goals ziwe hard coming by
Mkataba aliosign juzi Messi ni tofauti na ule uliokuwa proposed mwanzo ,Mkataba wa mwanzo ambao Messi alipewa kabla msimu uliopita haujaisha(kabla hata Neymar hajauzwa) release clause yake ilikuwa $300mMkuu hao vijana wabishi wapotezee kwanza walikua wanaomba mabaya Messi aende Mancity halafu Messi juzi akawafanyia surprise yakuweka seal contract yake ambayo mwanzo ilishasainiwa na baba yake George Messi mwezi wa saba
Bei ya Sane ni kizunguzunguAu mimi kama Scout tukiwa na mahitaji ya future sana hata Lorey Aziz Sane anatufaa sana tuongee tu na Gudiola
We are in need ya winger Pengo la Neymar hatujaliziba bado
Kweli kabisa pengo la Neymar bado kulitatua-hakuna back atakaye overlap amuache Neymar peke yake-we need someone with speed na anaeweza pull back mpira akiwa kwenye chalk-Huyu Delafou bado sana na final ball yake ni extremely poorAu mimi kama Scout tukiwa na mahitaji ya future sana hata Lorey Aziz Sane anatufaa sana tuongee tu na Gudiola
We are in need ya winger Pengo la Neymar hatujaliziba bado
Aziz sane anajua sana.Au mimi kama Scout tukiwa na mahitaji ya future sana hata Lorey Aziz Sane anatufaa sana tuongee tu na Gudiola
We are in need ya winger Pengo la Neymar hatujaliziba bado
Delouf bado sana mbaya zaidi amejaribiwa sana ame prove failure na kinachonichukiza ni poor deliverance yake mipira hua inaishi kwake na opponent wana intercept mipira yake ,wakati velverde yeye ndio anamfanya mastermind wa right wing attacking formula setKweli kabisa pengo la Neymar bado kulitatua-hakuna back atakaye overlap amuache Neymar peke yake-we need someone with speed na anaeweza pull back mpira akiwa kwenye chalk-Huyu Delafou bado sana na final ball yake ni extremely poor
Niliona sehemu wachambuzi wanasema tunakosa width kwa sababu Suarez hawezi kucheza wide forward na EV analazimisha kucheza. Ndiyo maana valvede alimuingiza Del, japo alicheza hovyo lakini alijaribu kuistrech defense yao walau kati pawe na nafasi. Suarez anahitaji apumzishwe.Jana ndio ilikuwa Barca original-free flowing football,Tatizo kubwa ni wings za Barca,defenders wa opposing teams wako comfortable wanajazana kati bila wasiwasi,alaafu side defenders wao wana overlap at will-yaani ile width ambayo Barca wana operate at maximum haipo-tazama jana Semedo alivyopata taabu-two players were coming on his flank cause the winger upfront was missing.Sijui Dembele atarudi lini? na we need another wide man-bila width tuta struggle to break down teams.Ukosefu wa width unasababisha Suarez awe offside frequently.All in all Barca it seems is complete,inahitaji twitches kidogo tu
Yaani huyu dogo anatakiwa kuuzwa HARAKA sana January, 2018. Aisee, kama wananisikia wamweke kwenye mpango wa wachezaji watakao uzwa mapema mwakani.Mwalimu amezidi kukariri Bora kucheza nusu kuliko kuwa na delofeu uwanjani hatuwez kucheza na chizi uwanjani