FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hanna coz mm nshazoea paco xaxa Jana nilicheki matokeo kwny xm nakuta mfungaji Fransisco ndo nilikuwa nauliza ni yuleyule au tofauti
Ila ninamashaka na jinsia yako mbona unapenda sana kutumia x kenye s huoni kuwa huo ni ushoga?
 
Naona Jose Arneiz ana kismati cha magoli barca
Sasa, huyu Jose Arneiz kwanini wasimpandishe kikosi cha kwanza. Mbona naona yuko vizuri sana. Alafu pia Denis kwanini asipewe Muda mwingi wa kucheza kuliko Delouf ???
 
Sasa, huyu Jose Arneiz kwanini wasimpandishe kikosi cha kwanza. Mbona naona yuko vizuri sana. Alafu pia Denis kwanini asipewe Muda mwingi wa kucheza kuliko Delouf ???
Yeye na Carlos Arena na goalkeeper wa team B ni super substitution kutoka team B ,they are always waiting for calls from above
 
Back
Top Bottom