Hahaha mcharo utampatia wapi sahiviHa ha ha kama nimeotea vile Valencia ameshakalia chuma cha "Njeremsni"
Getafe 1- valencia 0
Huu mwaka Barcelona wetu huu [emoji23][emoji23][emoji23]
Wapi dada kiboga Padri Mcharo
Exactly yule jamaa wa Valencia ni fundi sana ila cni kiungo yule auDani Parejo is a good free-kick taker
Hajafunga ila namfuatilia yuko vizuri
Ma scout wa Barca sijui waliishia wapi kuhusu huyu mtu tena especially tuna injuries mbili kule nyuma
Ni defensive midfielder ila sometimes anachezeshwa kama central defenderExactly yule jamaa wa Valencia ni fundi sana ila cni kiungo yule au
Parejo is an attacking midfielder na no.10 naturally ila kwa system ya kocha wao wa sasa anacheza na kondogbia kama two midfielders then soler winger pereira wingerNi defensive midfielder ila sometimes anachezeshwa kama central defender
Mpira utaisha so soon yuko nyuma kwa goli moja dk ya 89Parejo is an attacking midfielder na no.10 naturally ila kwa system ya kocha wao wa sasa anacheza na kondogbia kama two midfielders then soler winger pereira winger
Mbona ana ukame sana this season only 2 goals na tuko rpund 14?Parejo is an attacking midfielder na no.10 naturally ila kwa system ya kocha wao wa sasa anacheza na kondogbia kama two midfielders then soler winger pereira winger
Hii Ndiyo Laliga, "only 10 men at work" wametosha kuisambaratisha Valencia. Kweli Moira ni dk 90 zingine mbembwe tu, kiwango walichonacho Valencia msimu huu ni powa yaani...Dk ya 95 valencia wamekaa 1-0
Gap liko hivi
Kuna point 5 gap na opponent no 2(valencia)
Kuna point 8 sisi na Madrid [emoji23][emoji23][emoji23]
Laliga lile....linarudi home
Nimeangalia mpira from dk ya 01 hadi Mwisho Getafe deserved this ,halafu Valencia nahisi uchovu wameamka usingizini tayari wameshafungwa goli mojaHii Ndiyo Laliga, "only 10 men at work" wametosha kuisambaratisha Valencia. Kweli Moira ni dk 90 zingine mbembwe tu, kiwango walichonacho Valencia msimu huu ni powa yaani...
Sure MkuuNimeangalia mpira from dk ya 01 hadi Mwisho Getafe deserved this ,halafu Valencia nahisi uchovu wameamka usingizini tayari wameshafungwa goli moja
Tena Getafe bila red card na wangekua na umakini wangeifunga Valencia goal 2 hadi 3
Play makers wengi hawafungagiMbona ana ukame sana this season only 2 goals na tuko rpund 14?
Scout wamchunie tu tunahitaji asset na sio liability[emoji23]
KabisaNi mungu wetu mdogo uyo