FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Dani Parejo is a good free-kick taker
Hajafunga ila namfuatilia yuko vizuri
Ma scout wa Barca sijui waliishia wapi kuhusu huyu mtu tena especially now tuna injuries mbili kule nyuma
 
Dani Parejo is a good free-kick taker
Hajafunga ila namfuatilia yuko vizuri
Ma scout wa Barca sijui waliishia wapi kuhusu huyu mtu tena especially tuna injuries mbili kule nyuma
Exactly yule jamaa wa Valencia ni fundi sana ila cni kiungo yule au
 
Ni defensive midfielder ila sometimes anachezeshwa kama central defender
Parejo is an attacking midfielder na no.10 naturally ila kwa system ya kocha wao wa sasa anacheza na kondogbia kama two midfielders then soler winger pereira winger
 
Parejo is an attacking midfielder na no.10 naturally ila kwa system ya kocha wao wa sasa anacheza na kondogbia kama two midfielders then soler winger pereira winger
Mpira utaisha so soon yuko nyuma kwa goli moja dk ya 89
 
Dk ya 95 valencia wamekaa 1-0
Gap liko hivi
Kuna point 5 gap na opponent no 2(valencia)
Kuna point 8 sisi na Madrid [emoji23][emoji23][emoji23]
Laliga lile....linarudi home
 
Parejo is an attacking midfielder na no.10 naturally ila kwa system ya kocha wao wa sasa anacheza na kondogbia kama two midfielders then soler winger pereira winger
Mbona ana ukame sana this season only 2 goals na tuko rpund 14?
Scout wamchunie tu tunahitaji asset na sio liability[emoji23]
 
Dk ya 95 valencia wamekaa 1-0
Gap liko hivi
Kuna point 5 gap na opponent no 2(valencia)
Kuna point 8 sisi na Madrid [emoji23][emoji23][emoji23]
Laliga lile....linarudi home
Hii Ndiyo Laliga, "only 10 men at work" wametosha kuisambaratisha Valencia. Kweli Moira ni dk 90 zingine mbembwe tu, kiwango walichonacho Valencia msimu huu ni powa yaani...
 
Hii Ndiyo Laliga, "only 10 men at work" wametosha kuisambaratisha Valencia. Kweli Moira ni dk 90 zingine mbembwe tu, kiwango walichonacho Valencia msimu huu ni powa yaani...
Nimeangalia mpira from dk ya 01 hadi Mwisho Getafe deserved this ,halafu Valencia nahisi uchovu wameamka usingizini tayari wameshafungwa goli moja
Tena Getafe bila red card na wangekua na umakini wangeifunga Valencia goal 2 hadi 3
 
Sure Mkuu
 
Beki huyo wa Barcelona hatagusa tena mpira mwaka 2017 na ataikosa mechi ya El Clasico baada ya kupata majeraha ya misuli Jumamosi
Barcelona wamebainisha kuwa Samuel Umtiti atakosekana kwa muda wa miezi miliwi ijayo baada ya kupata majeraha katika sare ya Jumamosi ya 2-2 dhidi ya Celta Vigo katika uwanja wa Camp Nou.
Umtiti alilazimika kutoka dakika ya 72 kwenye mechi hiyo ya La Liga, na nafasi yaki ilichukuliwa na Thomas Vermaelen.
Barcelona walisawazisha na kuongoza kwenye ardhi ya nyumbani kwao, lakini Celta walipambana na kujipatia pointi moja muhimu nyumbani kwa vinara hao wa ligi.
Miamba ya Catalan wamebainisha baada ya mechi kuwa Umtiti alipata majeraha ya misuli ya paja na mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 hatacheza tena 2017, ikiwa ni pamoja na mechi ya El Clasico dhidi ya Real Madrid Disemba 23.
Umtiti, ambaye alitua Camp Nou akitokea Lyon mwaka 2016, amecheza mechi 17 Barcelona katika kampeni za 2017-18.
 
With Barça, Valencia, Atlético Madrid and Real Madrid all competing for this year's La Liga title, the competition couldn't be greater - there are some very important matches on the horizon.

Tetesi
Klabu ya Gremio ya Brazil kimewaambia Barcelona kuwa watahitajika kulipa euro milioni 50 kumsaini mchezaji wa safu ya kati Arthur (RAC1, via Mail)
 
Mshambuliaji wa Barcelona Luis Suarez amekiri kuwa maumivu yamemzuia kucheza katika ubora wake mapema msimu huu
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 sasa amefunga mara sita katika mechi 18 alizoichezea Barcelona msimu huu, lakini bado hajafanikiwa katika mechi tano za Ligi ya Mabingwa katika kampeni za 2017-18.

Suarez amekuwa akipambana dhidi ya majeraha yake ya goti, hata hivyo, Mchezaji huyo wa Kimataifa wa Uruguay amebainisha kuwa jeraha hilo limeharibu kiwango chake wiki za awali za msimu huu.
"Naam, lakini sasa najisikia vizuri. Nilihitaji matibabu ya kina na sasa naimarika. Sitaki kuendelea kuhisi maumivu, ni lazima niyazuie kujirudia tena," Marca lilimnukuu Suarez akisema.

Suarez amefanikiwa kufunga magoli 59 katika mechi 53 katika msimu wake wa pili Barcelona, na pia alifunga magoli 37 katika mechi 51 msimu uliopita akiwa na Lionel Messi na Neymar katika safu ya mbele ya mashambulizi.
 
Back
Top Bottom