Padri Mcharo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 1,899
- 3,688
Dk ya 95 valencia wamekaa 1-0
Gap liko hivi
Kuna point 5 gap na opponent no 2(valencia)
Kuna point 8 sisi na Madrid [emoji23][emoji23][emoji23]
Laliga lile....linarudi home
Ha ha mko position ya 5 kwenye laligaSijui huwa unawashwa kaupele gani..
Huwezi kuzungumza mechi yoyote La liga bila kuwataja Wakoloni wa Catalunya Madrid.
Naona ujanja ujanja wa Zizzou na Penaldo ndio umeshafika ukomo !!kuna uwezekano UEFA ijayo msicheze
Uko nafasi ya pili nyuma ya Tottenham sasa hilo jini unaloliota naona linakuvizia likurambe masaburiNilidhani umesema "kuna uwezekano UEFA hii mshichukue"
Ningekushangaa sana. Tena sana.
Lengo lake ni kumpumzishaHuyu kocha anatafuta Shari ndo nn sasa hivi kutompanga m10!!!
Huku ni kumpunguzia kasi ya magoli
Anatakiwa acheze aweze kumfikia na kumpita yule mmorocco
Sasa hii ndo nn sasa
Kwan tuna mechi ngumu yoyote?Lengo lake ni kumpumzisha
Nimeangalia mechi kwa stream ya kukwamakwama. Dogo Suarez ni noma sana. Tunaangaika kutafuta world class players kumbe tunao nyumbani mwetu. Ntafurahi siko nikiona Deniis-Messi-DembeleKuna uwezekano mkubwa sana nafasi ya Deleouf ndio rasmi imeshachukuliwa na Dennis Suarez kwa performance ya match hizi mbili tu inatosha kupewa promotion Dennis