FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Dk ya 95 valencia wamekaa 1-0
Gap liko hivi
Kuna point 5 gap na opponent no 2(valencia)
Kuna point 8 sisi na Madrid [emoji23][emoji23][emoji23]
Laliga lile....linarudi home


Sijui huwa unawashwa kaupele gani..
Huwezi kuzungumza mechi yoyote La liga bila kuwataja Wakoloni wa Catalunya Madrid.
 
Sporting CP.
Pigeni hawa Mbwa washike nafasi ya pili, ili next round wake wakutane na PSG wanyolewe vipele vyote na kina Mbappe.
Ngoja niweke laki moja. Kesho niamke na laki sita.
 
Sijui huwa unawashwa kaupele gani..
Huwezi kuzungumza mechi yoyote La liga bila kuwataja Wakoloni wa Catalunya Madrid.
Ha ha mko position ya 5 kwenye laliga
Naona ujanja ujanja wa Zizzou na Penaldo ndio umeshafika ukomo !!kuna uwezekano UEFA ijayo msicheze

Perez timua Zizzou ndio tatizo
Perez do the needful
 
Nilidhani umesema "kuna uwezekano UEFA hii mshichukue"
Ningekushangaa sana. Tena sana.
Uko nafasi ya pili nyuma ya Tottenham sasa hilo jini unaloliota naona linakuvizia likurambe masaburi
Una 95% loading kukutana na PSG [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha
Tulia urambishwe dawa naona hata robo finali msimu huu utaisikia tu kwenye bomba

jamani post na edith nawaiteni muone huyu dada Padri Mcharo ,majanga niliyokamuombea week mbili zilizopita yametokea

cc ROBERTO 20 PAGAN Numbisa Khalidoun FineForever

ha ha ha muziki wa PSG.... ha ha ha ha Barcelona tumeshawazoea hao mbwa wa Paris hadi mwezi february tarehe 06-02-17 waulize walifanywa nini Camp Nou Ramuntada goli 6-1 walikaaa aya sasa aibu yenu pande za Madrid
 
Huyu mcharo akiwa anaongea hivi asiwe anapotea ghafla baadaye[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huyu kocha anatafuta Shari ndo nn sasa hivi kutompanga m10!!!
Huku ni kumpunguzia kasi ya magoli
Anatakiwa acheze aweze kumfikia na kumpita yule mmorocco
Sasa hii ndo nn sasa
 
Huyyu kocha anaendelea kukomaaa na suarez na kumuacha mess naona anataka kutimuliwa
 
Goal....Mathiew anarudisha fadhira [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dk ya 91 ' Barca wanapata goli la pili

Huyu jamaa ugonjwa wake wakujifunga hajaacha ndio maana reject hii Barca tuliitema
 
Kuna uwezekano mkubwa sana nafasi ya Deleouf ndio rasmi imeshachukuliwa na Dennis Suarez kwa performance ya match hizi mbili tu inatosha kupewa promotion Dennis
Nimeangalia mechi kwa stream ya kukwamakwama. Dogo Suarez ni noma sana. Tunaangaika kutafuta world class players kumbe tunao nyumbani mwetu. Ntafurahi siko nikiona Deniis-Messi-Dembele
 
Kuna kila dalili next month Bartomeau anavunja kibubu atamchukua player kama sio England basi pale pale Spain
Characters za player atakua winger au defensive midfielder
 
Back
Top Bottom