FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mapenzi mabaya match ya jana sikuangalia now niko live na watch match

Bao la kwanza limepatikana kwa juhudi za Messi,, mfungaji ni suarez....Bao la pili ni la king mwenyewe ni tamu balaa kawapita mabeki wawili wakagongana wenyewe kwa wenyewe then wakaanguka, jamaa akabaki na kipa kituuuuuu 😀😀😀 kanikumbusha mechi ya Argentina na paraguay defences 😀😀😀
 
Nimeona kwenye highlights wamegongana kama wanakimbizwa na majambazi [emoji23][emoji23][emoji23]
 


Usisahau kumpa sifa zake Refarii, kwanini unakua mwizi wa shukrani ndugu yangu?
 
Champions League Last 16 Draw, 2017: 24 minutes ago / autty

DRAW RESULTS

1.Juventus vs Tottenham*

2.Basel vs Manchester City

3.FC Porto vs Liverpool

4.Sevilla vs Manchester United

5.Real Madrid vs PSG

6.Shakhtar Donetsk vs Roma

7.Chelsea vs Barcelona

8.Bayern Munich vs Besiktas
 
Messi10 ni intertainer, nilicheka balaa. Meno 34 nje yote 2
 
Angalia hapa, Messi10 alitaka kumvunja kiuno Modrik. Huyu Jamaa siyo MTU wa kawaida nafikiri huwa ana "pretend" kuwa kama mtu wa kawaida...
 
PSG afadhali kila mwaka tulikua tunakua tunapewa sisi tu
Basi akili fupi Madrid watasema wanaonewa wakati sisi tumekutana mara tatu in previous 5 years hadi tukawapiga Ramontada

Aise bora umewahi kulisema hilo mkuu...maana PAGAN alikuwa teari ashaanza kukulia timing 😀😀
 
Angalia hapa, Messi10 alitaka kumvunja kiuno Modrik. Huyu Jamaa siyo MTU wa kawaida nafikiri huwa ana "pretend" kuwa kama mtu wa kawaida...

Ha haa Niliiona iyo Mkuu....ipo nyingine kidogo amkate kiuno Roberto carlos,, Marcelo n.k....namsubiri Chelsea kwa hamu...siku hiyo watamuelewa King 😀😀 nyambafu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…