FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ha haa Niliiona iyo Mkuu....ipo nyingine kidogo amkate kiuno Roberto carlos,, Marcelo n.k....namsubiri Chelsea kwa hamu...siku hiyo watamuelewa King 😀😀 nyambafu kabisa
Hahahaaa! Yaani Usipime Mkuu...
3b583da45fa76a1a41fb4a73c5136f6d.jpg
 
Mviziaji kaona hali tete kaamua ampigie magoti king....eti ndio best player uyo...
Messi10 kazaliwa na Mpira Miguuni. Fake ronaldo kajifunzia ukubwani tu, sasa atamkuta SAA ngapi. Na right kama asingekuwa Messi10 katika kizazi hiki, fake ronaldo sidhani kama angeweza kufikisha hata mipira mitatu ya dhahabu (balloon dor)....
ef1cc0e695fb9e82e3a39eb5cc49916c.jpg
 
Usisahau kumpa sifa zake Refarii, kwanini unakua mwizi wa shukrani ndugu yangu?

Nimpe sifa za nini?? Kuna nini kimetokea?? Wewe unafikiri Messi ni mviziaji kama ronaldo...u know that hiyo nafasi anayocheza huyo mviziaji wako lau kama ni Messi anacheza hiyo nafasi nakuhakikishia angelikuwa na magoli 800 mpaka sasa...pale ni uviziaji na penalties tu ndio kinachompa kiburi, na sio mpambanaji kama King /Messi
 
Hilo liko wazi Mkuu!!! Kazi kuviziavizia tu. Mwisho wake umefika. Aende China Akavizie vizie huko Mpira..
 
Mviziaji kaona hali tete kaamua ampigie magoti king....eti ndio best player uyo...
Hizi tuzo zimekuwa za kibiashara zaidi. Euro alieiwezesha Ureno kushinda ni Renato Sanchez. Tuzo Ronaldo. Alieiwezesha Madrid La liga na CL unaweza sema ni heroics za kina Ramos na Modric but mtu aliekuwa inconsistent msimu mzima mpk mechi za mwisho ndio anapewa Uchezaji bora.
 
Hawatendi haki Mkuu. Ingelikuwa wanafuata performance hope Messi angekuwa anachukua every year...
 
Hahahahahaaa tunamuombea Mungu ampe long life king wetu...hatokuja kutokea tena kama huyu
Ni kweli kabisa Mkuu. Hatokuja kutokea mwngine kama king Messi10. Kama jinsi ambavyo mpaka Leo hakuna Wanasayansi wenye uwezo mkubwa kama akina Albert Einstein, Nikola Tesla, etc. "Messi10 is the Albert Einstein of football".
4ffcb7e8853a2ba41a83cfb97a1cbed4.jpg
 
Back
Top Bottom