FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ni kweli kabisa Mkuu. Hatokuja kutokea mwngine kama king Messi10. Kama jinsi ambavyo mpaka Leo hakuna Wanasayansi wenye uwezo mkubwa kama akina Albert Einstein, Nikola Tesla, etc. "Messi10 is the Albert Einstein of football".

Mkuu umeongea point aise...huyo mzee ni kichwa namwelewa sana....huyo ndie wa kufananishwa na Messi na sio waviziaji.
 
Barcelona wanakaribia kukumilisha mpango wa kumsaini mlinzi wa Palmeiras raia wa Colombia Yerry Mina, 23, ambaye anaonekana kuwa atachukua mahala pake Javier Mascherano, 33. (AS)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…