Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Kaitwa!!!! Serious????Huyu jamaa kwa kufunga ni hatari Suarez hampati ndio maana wamemuita tena national Team Spain
Yeah ameitwa tena since october i guessKaitwa!!!! Serious????
Aiseh!! Inaonekana huko marekani anacheka sana na nyavuYeah ameitwa tena since october i guess
Lazima afunge 2Messi amegonga mwamba mara mbili
Mara nyingi tukicheza 433 mpira una burudani sana space inakuepo.Hii ndio ,Barca tulioizoea sleek,composed and comfortable on the ball-bring on the classico
Sio offside kwa sababu Messi hakua offside kuna video inamuonyesha alikotokeautaalam wangu umefikia kikomo,ina maana hili goal sio offside
Hawa Leo tunapiga hata 5. Ngoja tuone 2nd halfutaalam wangu umefikia kikomo,ina maana hili goal sio offside