FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Gazette za Spain zinasema Suarez has hit form at the right time,awareness in the box and anticipation of what team mates are about to do zimerudi-killer instinct is also back-bad news for RM- bring on the classico
 
Kama amerud kwenye hali itapamendeza sana
 
Gazette za Spain zinasema Suarez has hit form at the right time,awareness in the box and anticipation of what team mates are about to do zimerudi-killer instinct is also back-bad news for RM- bring on the classico
[emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Jana wamekataa goli hivihivi
Tena la wazi kabisa....
Ila powa tu kwakuwa tulishinda.
5acd44e3b22767a3ac135560967d1e98.jpg
 
Tetesi
Rais wa Barcelona naye alikutana na familia ya Antoine Griezmann katika juhudi za karibuni zaidi za klabu hiyo kutaka kumnunua mshambuliaji huyo wa Atletico Madrid mwenye miaka 25. (Mundo Deportivo)
 
Screenshot_2017-12-18-18-14-23.png

Messi mwaka wa tisa mfululizo anapata tuzo ya "Alfred di Stefano" yaani best player of the year 2016-2017 mara ya tisa mfululuzo tangu 2009 pia amekabidhiwa Pichichi trophy (Top scorer of the year)

Hii ni safari ya kuelekea El classico
 
Screenshot_2017-12-18-18-56-23.png

Iniesta Maestro ,fundi,ball controller ,mpiga pasi ,bingwa wa World cup na Euro mfunga mabao muhimu,mchezaji ambaye baada ya Ronaldinho kupata standing ovation Bernabeu yeye anafuata ,the most renowned player in Spain anaheshimika na kila mtu hadi mitaa ya Castilla,mchezaji ambaye ni icon ya Spain na Barca,mchezaji ambaye tangu ulimwengu wa mikataba ya mpira umeanza yeye amevunja record kwa kupewa mkataba wa kudumu..niendelee kutaja sifa?mchezaji ambaye amekua mchezaji bora kwenye fainali za UEFA,World cup,Euro a.k.a Architect

AMEPEWA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA TEAM YA TAIFA SPAIN Hallelujah
 
View attachment 653663
Messi mwaka wa tisa mfululizo anapata tuzo ya "Alfred di Stefano" yaani best player of the year 2016-2017 mara ya tisa mfululuzo tangu 2009 pia amekabidhiwa Pichichi trophy (Top scorer of the year)

Hii ni safari ya kuelekea El classico
Kuna Messi10, mmoja tu duniani. Na kamwe sidhani kama ulemwengu huu wa soka utakuja upate Fundi wa mpira mwingine kama yeye.

Messi10 is an Alien. Hongera Kubwa Sana kwake...
 
Back
Top Bottom