Today is very unlike lakini namjua huyoo mpira bado haujaishahasira zake atamalizia kwenye Classico
Ni mwamba wa 25 this season in la ligaWachezaji wa Barca wamepiga sana miamba leo (wood work) Joldi Alba amepiga nae
Ile golden boot waliompa before the game imemu jinxToday is very unlike lakini namjua huyoo mpira bado haujaisha
Yeah amekua kama fisi na kujiokotea goli mbiliRuns za Paulinho wakati wa kuattack zinavutia sana.
Na lazima wakaeJamaa tukiwapiga tutawaacja point 14! Haijalishi wana kiporo.
Kama amerud kwenye hali itapamendeza sanaGazette za Spain zinasema Suarez has hit form at the right time,awareness in the box and anticipation of what team mates are about to do zimerudi-killer instinct is also back-bad news for RM- bring on the classico
[emoji91] [emoji91] [emoji91]Gazette za Spain zinasema Suarez has hit form at the right time,awareness in the box and anticipation of what team mates are about to do zimerudi-killer instinct is also back-bad news for RM- bring on the classico
Jana wamekataa goli hivihivi[emoji91] [emoji91] [emoji91]
Tena la wazi kabisa....Jana wamekataa goli hivihivi
Kuna Messi10, mmoja tu duniani. Na kamwe sidhani kama ulemwengu huu wa soka utakuja upate Fundi wa mpira mwingine kama yeye.View attachment 653663
Messi mwaka wa tisa mfululizo anapata tuzo ya "Alfred di Stefano" yaani best player of the year 2016-2017 mara ya tisa mfululuzo tangu 2009 pia amekabidhiwa Pichichi trophy (Top scorer of the year)
Hii ni safari ya kuelekea El classico