Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Mechi kesho dhidi ya Chelsea,Erick Abidal atakuwa mzima?
Chelsea 0 - Barcelona 4
Mechi kesho dhidi ya Chelsea,Erick Abidal atakuwa mzima?
Chelsea 0 - Barcelona 4
This is too low from you... Hivi hao marefa wanaohongwa ni nani amewaweka hapo na kwa nini wasiondolewe??! Barça huwa inafungwa na huwa inashinda, ajabu ni kuwa ikifungwa hamna tatizo na hilo, ikishinda conspiracy kibao!!! Soka la Barça liko pale kwa kila mtu hata kipofu wa soka kuliona..Ili Barca washinde wanahitaji Refa aliyehongwa...
Na ndio maana enzi za akina Colina na Mr Nilsen Barca walikuwa ushuzi tu
Haaahaaaa! Nani huyo mkuu?! Unajua mpira ni mchezo wa ajabu sana, Chel5 ikienda na treni ipaki golini hlf ifanye kwa umakini counter-attack, itakuwa na uwezekano mkubwa tu wa kushinda, na mimi sioni ajabu kwa matokeo ya aina hiyo. Ila for the sake of the game, wengine wetu tunapenda Barça ishinde kwa sababu ya soka inayocheza.Kuna jamaa kasema kama barca watapigwa tena na hawa j.k.t ruvu sorry chelsea basi scania ipenye kwenye masaburi yake,viva barca
Kuna jamaa kasema kama barca watapigwa tena na hawa j.k.t ruvu sorry chelsea basi scania ipenye kwenye masaburi yake,viva barca
Pamoja na kubebwa lakini mbeleko leo imekatika hakuna UEFA wala La LIGA msimu huu....imekula kwenu.
Pamoja na kubebwa lakini mbeleko leo imekatika hakuna UEFA wala La LIGA msimu huu....imekula kwenu.
Leo wamebebwa lakini uwezo wao ni mdogo sana, ushaona wapi timu haina plan B, kila siku ni square square square then dive, mwisho wao umeshafika sasa waanze kulipa madeni ya wanayodaiwa na benki za spain ambazo zinadaiwa na benki za ujerumani ambazo zinadaiwa na EU