FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

fabregas hana gundu ni msimu wake wakwanza kaosa laliga na ucl,hata figo alipotoka barca kwenda real 2001,alikosa ucl ila mwaka uliofuata 2002 akabeba ucl,sasa kina arjen robben mtasemaje maana ndani ya miaka 3 final 3 muhimu kakosa kombe 2010 ucl 2010 na bayern munich vs inter milan,2010 world cup holland vs spain na 2012 ucl bayern munich vs chelsea,drogba nae afcon 2006,ucl 2008,afcon 2012 kabla ya kutoa gundu ucl 2012,fabregas kashashinda nao player mates wake euro 2008,world cup 2010 na fifa club championship 2011,kwahiyo bado gundu alikuwa nalo alipochelewa alipokuwa na ganaz sio sasa yupo spain ana makombe 3 na fc barca msimu wake wa kwanza tu super cup,fifa club champs na copa de rey.
 
na vijana wametuwakilisha vema sana timu ya taifa
 
hivi nini kimempata puyol kuvimba tumbo vile anaumwa?atakosa mechi uwanjani muda wote huo.aisee stricker wetu
 
hivi nini kimempata puyol kuvimba tumbo vile anaumwa?atakosa mechi uwanjani muda wote huo.aisee stricker wetu
Carles Puyol i Saforcada ngoma ngumu aliumia kiwiko(elbow)kule Lisbon juzi uefa champs ligi vs benfica,hakati tamaa hata ikiwa Barca nyuma 5-0 ana imani zote zinarudishwa,ni mtu wa meditation yule,tunamkosa takriban muda wa miezi miwili,tunaombea apone haraka,in Puyol we trust,kijana wa La Pobla de Segur.
 
kabisa bwana, tutarudisha tu ata iweje,piyol namkubali sanaaa
 
kama mm ningekuwa ni vilanova ningechezesha formation ya 3- 4- 3
Yaani valdes

alves mascherano adriano/alba

xavi busque song iniesta

sanchez messi pedro

maana naona kama partnership ya song na mascherano ni mbovu xana vile vile hata kuna muda kocha guardiola alishawahi kuitumia ktk el clasico na baadhi ya mechi pindi macentral defenderz walivyokuwa majeruhi na alipata positive results

au hata 3 -1-3- 3 yaani

valdez

alvez mascherano adriano/alba

song
xavi busquet iniesta

sanchez messi pedro

game la leo ktk makaratasi inaonesha madrid yuko favored sana dhidi ya barca na hii ni kutokana na weekness katika upande wa defenderz (barca)

but all in all mpira ni dakika 90 na co kwenye makaratasi

VIVA BARCA! Viva Barca! VIVA BARCA!
 
hili gemu tunaeza pata kwenye web gani sisi tulio na antena ya samaki hatupati huku kijijini
 
Maganga Mkweli,dah yani kuitafuta hii sredi shida sana,ivi mod nanihii (jina lako gumu kuandika na kutamkika adi tugezee)kawaje tena??
tumegongwa barca na mkenya!!ila twasonga mbele
 
Last edited by a moderator:
Huko jijini Valencia,ikicheza jana wachezaji wote waspain kasoro Lionel Andrea Messi Cuccittini na Adriano Correia alieingia kipindi cha pili badala ya Jordi Alba Ramos,timu ya FC Barcelona jana iliwachapa wenyeji Levante akiwemo Obafemi Martins mabao 4-0,mabao yakipatikana kipindi cha pili yakitengenezwa yote 3 na Andrea Iniesta Lujan kabla nae kufunga lake moja kali,mabao yalifungwa na Messi mawili,Cesc Fabregas i Soler na Iniesta,huku kipa Victor Valdes i Arribis akipangua penati dk 85 na kuokoa ingine iliyotaka kumaliziwa kutokana na beki nahodha Carles Puyol i Saforcada alierudi kutoka majeruhi kuunawa mpira,mechi zingine Real Betis ambao last wiki walikula 1-5 toka kwa wapinzani wao wakubwa Sevilla ktk sevilla derby,waliwachapa Real Madrid waliotoka ktk uchovu wa uefa champs ligi,Atletico Madrid nao waliharibu furaha waliokuwa nayo sevilla ya kushinda mechi yao ya sevilla derby last wiki vs betis,atletico madrid walishinda 4-0 vs sevilla,malaga walimchapa valencia fc 4-0,kwa mana hiyo timu za valencia wiki hii ni kilio wote wamekula 4-0,yaani valencia cf na levante ucd,next wiki ni derby el madrid @ santiago bernabeu real madrid vs atletico madrid,atletico madrid wana rekodi mbaya ipatayo takriban zaidi ya miaka 10 hawajawashinda real madrid,toka kina torres,reyes,aguero,forlan nk hawana rekodi ya kuwafunga real madrid,na hii itakuwa mechi kali 7bu real wapo nyuma point 8 kwa wapinzani wao atletico madrid na 11 kwa el clasico wao fc barcelona.
 
Ahh!Always the truth will remain to be the truth that Barcelona is powerful than Man U,but
NB:Arsenal is at the TOP you have to amit,so long Everlasting Arsenal, i'm ouuut!
 
Ahh!Always the truth will remain to be the truth that Barcelona is powerful than Man U,but
NB:Arsenal is at the TOP you have to amit,so long Everlasting Arsenal, i'm ouuut!
Tutolee ugonjwa wa moyo hapa Nou Camp,umeingia chumba sio,huwezi kufananisha tembo na sisimizi.
 
Ahh!Always the truth will remain to be the truth that Barcelona is powerful than Man U,but
NB:Arsenal is at the TOP you have to amit,so long Everlasting Arsenal, i'm ouuut!


Lusekelo hii timu kaishindanishe na Kariakoo Lindi au Mji Mpwapwa.
Arsenal na uongozi wa CCM hakuna tofauti, kwa sababu wote wanaishi kwa matumaini.

Period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…