Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Bayern 5 Porto 0!!!!!!!!!
Duh!!!!! Josip Guadiora huyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bayern 5 Porto 0!!!!!!!!!
Usilale bana game zuri hivi unaanzaje kulala!!!
Nipo!!!
Usilale bana game zuri hivi unaanzaje kulala!!!
Asante kwa kuja, umeme umerudi au umeenda kibandani?
huku bayern kesha ua mtu
View attachment 245545
-Mpira wa leo wa Bayern ndo atacheza kesho Atletico Madrid ndani ya Santiago Bernabeu!!!
Nimepiga kahawa haijasaidia nimenunua baragu.mbili nimeshika mkononi ili kupoza kbs ucngizi
Yani hapa na TV nimezima kabisa...haya matimu hayana ata upinzani.....au upinzani mpk yamuone baba wangu Mourinho tu... Hebu waangalie na hao Porto...wamefika Munich kz kusema Shikamooo Guadiora. Wamekula 5 ndani ya dk 45 sasa kipindi kingine si watakua 10? Hakuna mpira Wa kutizama Leo ngoja kesho kwa kibibi kizee cha Turin huko kitakua Monaco kinajikongoja....
Chao mamito.
-Nimeenda Kibandani, huyu Messi huyuuuuu!!!!!
-Harafu mtandao kuna kipindi ulikuwa unasumbua sana.