Barca haina na HAIJAWAHI kuwa na tatizo la KIUNGO!
Tatizo sugu la Barca kwa miaka ya karibuni ni Beki ya Kati (the right man to partner Pique) Na Sahiv tatizo lipo/litakuwepo zaid katika namba 2 (RB), Montoya bado sana! Na hiz ni nafas ambazo Barca wanazembea kuziImarisha tangu last season! Mathieu and Vermalen siyo Proven CB's wa kuichezea Barca, Bartra needs to learn more, (walitakiwa wampelekea sehem kwa mkopo), last season waliteta ubahili kwa Marquinho wa PSG, but thank God they never signed MANGALA, LOL!
Sergi Roberto bado saaaaana, na kupata mrithi wa iniesta wanatakiwa kuspend BIG, iniesta mpira wake unakaribia kuisha, so club lazima iAct fast, I can see them going full in for Coutinho!