FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

HU.jpg
 
Huku kuna gem ya bayern vs dortmund nafikiri ni nusu final ya kombe la kule kwao na naona bayrn anasumbuliwa sana na dortmund
 
Nipo chebi mm nagonga like za kutosha Umeme umerudi ila duh! Wengi wanautaka ule wa Bayern Munich haya mm napata updates hapa..... Mimi nimefurahi sana bado 2 ya Suarez na Messi wote waondoke na hatrick zao......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom