FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Barca nawapenda sana ila kwenye kubeti huku wanapewa point ndooooogo! aaargh... hicho tu!:becky:

Kwanini sasa wanafanya hivyo? .........halafu wewe Excel sikuoni humu jamvini kwenye michezo unashabikia timu gan?
 
Last edited by a moderator:

Ever mpenzi. wenye lugha lugha yao wanasema, ''anything you do better, dont do it for free!''

Mimi ni mshabiki mzuri tu wa mpira, tena wa muda mrefu tu, na naufahamu mpira kwa kiasi changu! Sasa nimeona kuliko kutumia nguvu na resources zangu kushabikia;

Kwanini huo mpira usinipe pesa??

siku hizi sishabikii mpira tu, natengeneza na mkwanja vile vile!

About kuwepo Jamvini, well nipo mdogo mdogo kama hivi, majukumu nayo kama kijana yananibana!
 
Hivi matokeo yameishaje ya kule Bayern na Dortmund? Maana nilikuwa nacheki LFC na Hull.........halafu wewe chebi England si uko na Liver au??
bayern huko kimenuka wametolewa kwa mikwaju ya penalt kumbe bayern wabovu kwenye penalt kati ya penalt 5 hawakuingiza hata moja dortmund katinga final na kule uk kuchi wetu miguu juu hull city kamchinja kisu kimoja jogoo anatupa aibu
 
Ribery alikuwepo?
 
Ribery alikuwepo?

Ribery hakuwepo alikuwepo roben cha ajabu kacheza kidogo naye injury tena na kwa taarifa iliyopo ni kuwa wajerumani wameumia sababu ya roben coz matumaini ya kuifunga barca yamepotea
 
pep alitaka kutupa presha sisi barca alimuingiza roben ili watu waone kwamba amepona na ilhali bado majeraha yanamsumbua
 
rb.jpgbn.jpgrn.jpg
 
Ever mpenzi. wenye lugha lugha yao wanasema, ''anything you do better, dont do it for free!''

Mimi ni mshabiki mzuri tu wa mpira, tena wa muda mrefu tu, na naufahamu mpira kwa kiasi changu! Sasa nimeona kuliko kutumia nguvu na resources zangu kushabikia;

Kwanini huo mpira usinipe pesa??

siku hizi sishabikii mpira tu, natengeneza na mkwanja vile vile!

About kuwepo Jamvini, well nipo mdogo mdogo kama hivi, majukumu nayo kama kijana yananibana!

Safi sana dear kama uko vizur kwenye betting for sure ni fursa nzur ya kutengeneza hela.....
 
Messi,Neymar and Suarez between them have 100 goals in all competitions this season,with more games to come. Is this the greatest strike force of all time????
 
pep alitaka kutupa presha sisi barca alimuingiza roben ili watu waone kwamba amepona na ilhali bado majeraha yanamsumbua

Kama ulikuwepo vile, jamaa kamuingiza ili kututisha.
 
Safi sana dear kama uko vizur kwenye betting for sure ni fursa nzur ya kutengeneza hela.....

Ila ukifa unapata fursa ya kwenda Jehanum. Usifurahie raha ya miaka 100 hapa duniani ila kuna kuteswa milele. Tenda mimi ili uishi naisha ya amani milele na milele.
 
Sijakuelewa daddy wangu.......
 
Dota wangu everlenk mwambie mkwe anunue Generator ili usikose uhondo wa Barca.
 
Last edited by a moderator:
almeria vs r.madrid imeisha kwa 0-3 real wameshinda ila c.ronaldo haja score ametoka amekasirika huku akijua next game ya barca vs cordoba messi ata score na ataanza kumkimbia
 
Amekasirika sanaa tuombe heri Messi atupie mengi siku hiyo....
 
Safi sana dear kama uko vizur kwenye betting for sure ni fursa nzur ya kutengeneza hela.....
Betting ukiijua ni tam kama ku-solve swali la hesabu unalolijua..

Jana nimebeti ka-kamkeka kamoja nikaweka buku 9. Point za uhakika, 2.75. Sema hapo kwenye dau nilizingua! dogo mno!

Teams are as follows:

Young Boys-- Goals 2+
The Strongest-Goals 2+
Real Madrid--Goals 2+

*Hao niliwapa wapata magoli mawili na zaidi

Ldu quito apate 1+

Na zote zilitoa! lol
 
Back
Top Bottom