FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FT: Cordoba 0 Barcelona 8
Ivan RAKITIC (42')
Luis SUAREZ (45'+2, 53', 88')
Lionel MESSI (46', 80')
Gerard PIQUÉ (65')
NEYMAR (85' PEN)
 
Messi kwa nia njema kabisa kamwachia Neymar apige penati...

Angekuwa Cristina Penaldo lazima angelilia apige yeye ili apate ujiko...

Kweli mkuu. Mpiga Penalti wa Barcelona ni Messi ila kwa kutopenda ubinafsi (huenda aongeze gap) ka mwachia Neymar kwa roho safi.
 
Messi kwa nia njema kabisa kamwachia Neymar apige penati...

Angekuwa Cristina Penaldo lazima angelilia apige yeye ili apate ujiko...

Katika hilo big up kwake Messi kawaziba midomo wanaochonga eti mbinafsi.........Haya wangu huku mambo safi roho kwatu twende zetu England hope leo tutacheka kama huku.....
 
Messi ndo anapendwa na watu si mchoyo mpole hana makeke ukimwambia funga tu anafunga ukimwambia chezesha timu anachezesha ukimwambia to a assist anafanya jamaa ndo maana kabirikiwa sio yule bishoo mpenda misifa
 
Katika hilo big up kwake Messi kawaziba midomo wanaochonga eti mbinafsi.........Haya wangu huku mambo safi roho kwatu twende zetu England hope leo tutacheka kama huku.....

Nilikuwa nawatazama Juve hapa naona nao wananikosha...

Ngoja sasa nirudi nyumbani niwatazame Man...

Hopefully tutacheka maana Barca wametukosha....
 
Back
Top Bottom