everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,027
Karibu sana rafiki yake daddy, jana daddy alikuombea akiwa home siyo kule buguruni ndo maana sala zake zilifika mbinguni, nawe utushike leo kwa sala ,jana Tevez alipokuwa akikimbiza nilikuwa nanena kwa lugha ,Morata akishika mpira naona malaika WA magol wakimuongoza, ile Penalt loh niliita ajibuye kwa moto afanye yake....ule ukuta wa utatu mtakatifu wa Chiellin,Barzagli na Bonucci ni noma ni kama mlima wa Sayuni.......
Last edited by a moderator: