PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,106
- 14,353
Mi shabiki wa Real ila sioni sababu ya kuichukia Barca, inafanya poa sana
bakukubali mtu wanguvwote spain
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi shabiki wa Real ila sioni sababu ya kuichukia Barca, inafanya poa sana
juve wshaanza kucheza rafu refa anapeta
Mhhhh! Juventus wanakoswakoswa tena.
Hahahaaaaa shauri zako..... zitabanwa adi juve ashindeee
Shost yaliyonikuta acha tu ndogo nimekaa kitako now nachek game
Hongeren mamy mnaongoza
sio wanajitahd sema mnajitahidNaona wanajitahidi kweli kumkaba Messi,
suarez leo an bahati mbaya
Wa kumkaba messi ni messi mwenyewe.